kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,729
- 14,159
Ninachofahamu Mimi Simba na mashabiki wa Simba waligomea mkataba wa TFF na GSM kuidhamini ligi. Simba na mashabiki wao waligomea kuvaa jezi zenye logo ya GSM.
Hivi karibuni TFF imeingia mkataba wa miaka 10 na kampuni inayotengeneza jezi za timu ya Simba, Sandaland kutengeneza jezi za timu za taifa.
Uhasimu wa Simba na Yanga unafahamika Je, mashibiki wa Yanga watakubali kuzinunua na kuvaa jezi za timu ya taifa zinazotolewa na kampuni inayoifadhili Simba ya Sandaland?
Kukurupuka oyeee!!!