TFF vunjeni benchi la ufundi la Taifa Stars

Bahati mbaya serikali yako na wale wanasiasa waliojazana pale TFF hawana uwezo wa kuajiri kocha mwenye sifa unazozitaka. Isipokuwa wana uwezo wa kuajiri wahamasishaji tu.
Serikali inaonuwezo ndio maana walimuajiri,amunike,adel amrouche shida iko tff na ingawa sina ushahidi,naambiwa mshahara wa huyo morrocco ni sawa na kocha wa kutoka nje,na kwamba akiupokea anamgawia mkubwa mmoja tff
 
Timu yetu imeshinda kwa bahati na juhudi binafsi za wachezaji wetu,hao makocha wetu wote,hawana ujuzi wala sifa za kuifundisha timu ya taifa.

Ushindi wa jana hakuna ufundi wowote uliooneshwa na makocha.
Hatahivyo wachezaji wa timu ya taifa wanafundishwa kwenye vilabu vyao ,(individual skills), ujuzi mkubwa wa benchi la ufundi ni kuwatambua wachezaji wazuri na jinsi ya kukipanga kikosi cha kwanza na namna ya kufanya mabadiliko ya wachezaji, (substitutions), na jinsi ya kuisoma timu pinzani
 
Hatahivyo wachezaji wa timu ya taifa wanafundishwa kwenye vilabu vyao ,(individual skills), ujuzi mkubwa wa benchi la ufundi ni kuwatambua wachezaji wazuri na jinsi ya kukipanga kikosi cha kwanza na namnabya kufanya mabadiliko
Ni kweli,ila game plan hutolewa na makocha wa timu ya taifa
 
Timu inacheza bila objecives zozote,hakuna pattern youote unaiona uwanjani,uchaguzi wa wachezaji ni wa kiupendeleo,mpaka watu wapige kelele ndio kocha anabadili na kuchagua wachezaji waliopigiwa kelele,hana msimamo wowote.
Swali fikirishi je mkipiga kelele anasikia? Kama anawasikiliza mpeni maua yake, kazi kubwa ni yakuwapata wachezaji wazuri wenye ujuzi binafsi na wenye nguvu, (drive and energy)

Silence surrenders public responsibilities
 
Makocha wa Tanzania hasa lile benchi likiongozwa na Morroco wanauzalendo ngozi nyeupe haziumii kabisa halafu zinapigwa majungu haziwezi kutimiza majukumu yao sawa sawia. Bora wabaki haohao
Kuhusu majungu nakubali,uzalendo sina hakika,muhimu kocha pia ni mfano bora kwa wachezaji unapomleta jamhurinambae alitelekeza timu ya fountain gate mwanza,unatoa picha ipi kwa wachezaji wa taifa?
 
Swali fikirishi je mkipiga kelele anasikia? Kama anawasikiliza mpeni maua yake, kazi kubwa ni yakuwapata wachezaji wazuri wenye ujuzi binafsi na wenye nguvu, (drive and energy)
Ni kweli kuwa kazi
ya kuwapata wachezaji wazuri pia ni ngumu,lakini kocha mjuzi,mwenye maarifa na uzoefu wa kucheza mechi za kimataifa,ndiye anatufaa,huyu wetu,ni mhamasishaji,na hana maarifa
 
Ni kweli kuwa kazi ny kuwapata wachezaji wazuri pia ni ngumu,lakini kocha mjuzi,mwenye maarifa na uzoefu wa kucheza mechi za kimataifa,ndiye anatufaa,huyu wetu,ni mhamasishaji,na hana maarifa
TFF ni viziwi kakini watu wa kwanza wa kushauri ni wachezaji wenyewe wanaoshiriki timu ya taifa wanaweza kutoa mrejesho mzuri zaidi kupitia hao wadau wa michezo wafanye huo utafiti wampelekee katibu mkuu, (Msigwa)

TFF are slow doers
 
TFF ni viziwi kakini watu wa kwanza wa kushauri ni wachezaji wenyewe wanaoshiriki timu ya taifa wanaweza kuto mrejesho mzuri zaidi kupitia hao wadau wa michezo wafanye huo utafiti wampelekee katibu mkuu, (Msigwa)

TFF are slow doers
Ni wazo zuri
 
Back
Top Bottom