kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 19,962
- 24,135
Hatua zichukuliwe za haraka kuliokoa soka letu..jana kocha wa fountain gate kaweka kila kitu wazi kuhusu kipa wao vipi kuhusu marefa nao wenye kufumbia macho haya...ligi inapoteza heshima leo kazungumza hapa kesho anakwenda kuhojiwa bbc bado kocha atarudia kauli ile ile bila kupepesa kuhusu upuuzi wa mpira wetu...