MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,748
- 3,603
Baada ya Timu Yanga kuthibitisha pasi na shaka, Tena kwa kutoa vithibitisho vya mikataba halali vinavyothibitisha kwamba mchezaji Yusuph kagoma, ambaye ni mali ya SFG kuingia mkataba na Yanga, Kisha mchezaji huyo kutumika katika michezo miwili ya Simba, mmoja dhidi ya Tabora utd na mwingine dhidi ya SFG, Basi ni wazi, kwa makusudi na kwakujua, Simba sc ilimchezesha mchezaji ambaye walijua fika kuwa si mali yao! Jambo ambalo linatia doa na kuharibu kabisa taswira ya Ligi yetu ambayo tunapambana kuisogeza nafasi za juu Afrika.
Tabia hii mbaya kabisa inapaswa kukemewa na kukataliwa kabisa kwa kuchukua hatua kali kwa wahusika wote, Ili iwe funzo kwa wachezaji na vilabu vingine hapa nchini.
Soma Pia: Mwanasheria wa Yanga: Mchezaji Yusuph Kagoma alisaini mkataba wa miaka mitatu na Yanga