TFF, bodi ya ligi na TAKUKURU kuweni macho mechi ya Yanga dhidi ya Mashujaa

gonamwitu

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
2,180
2,782
Magwiji, manguli na klabu kongwe zaidi afrika mashariki kwa kupanga matokeo Yanga a.k.a Gongowazi watakuwa uwanjani leo kucheza na tawi lao la mashujaa.

Kuna dalili zote za upangaji wa matokeo, ili kuzuia hili nawashauri TFF na BODI YA LIGI wekeni wawakilishi wenu kwaajili ya kupambana na maharamia Yanga.
 
Tuwekee hizo dalili za kupanga matokeo ukimaliza uwashauri pia tff wawakilishi wao wachunguze mechi ya Namungo na Simba kabla awajafatilia ya yanga na mshujaa!
 
Waanze na mechi iliyopita ya Namungo kwa madunduka kupewa penalty tatu za mchongo na kadi nyekundu ya kizwazwa
Mnalitia najisi soka letu kwa mambo yenu ya hovyo ya kupanga matokeo TAKUKURU leo nawashauri wawe macho.

Simba ni timu kubwa na inashinda kihalali dhidi ya namungo game ilikuwa tafu sana mpaka wachezaji wakaamua kutumia uwezo binafsi kuamua mechi.
 
Tuwekee hizo dalili za kupanga matokeo ukimaliza uwashauri pia tff wawakilishi wao wachunguze mechi ya Namungo na Simba kabla awajafatilia ya yanga na mshujaa!
Kuna wachezaji watatu wa mashujaa wamepewa milioni 10 wajifunge.

Simba ni timu kubwa kama AL AHLY,ESPERANCE,ZAMALEK,MAMELODI ndio maana inashinda kihalali kama wakubwa wenzake ndio maana game dhidi ya namungo ilikuwa tough sana hadi wachezaji kutumia uwezo binafsi kuamua mechi.
 
Mnalitia najisi soka letu kwa mambo yenu ya hovyo ya kupanga matokeo TAKUKURU leo nawashauri wawe macho.

Simba ni timu kubwa na inashinda kihalali dhidi ya namungo game ilikuwa tafu sana mpaka wachezaji wakaamua kutumia uwezo binafsi kuamua mechi.
Ilikuwa ushindi wa halali kwa mujibu wa Refa aliyetoa penalty 3 na red card halali ambayo imefutwa na bodi ya ligi au sio bwana mbumbumbu!
 
Kuna wachezaji watatu wa namungo wamepewa milioni 10 wajifunge.

Simba ni timu kubwa kama AL AHLY,ESPERANCE,ZAMALEK,MAMELODI ndio maana inashinda kihalali kama wakubwa wenzake ndio maana game dhidi ya namungo ilikuwa tough sana hadi wachezaji kutumia uwezo binafsi kuamua mechi.
Kumbe wachezaji wa Namungo walipewa milioni 10 wajifunge??? Umetufumbua macho🤣🤣
 
Umesikia huko, Bodi ya ligi wameifuta Ile kadi nyekundu waliopewa Namungi mechi ya Simba!?

Imeonekana ilikua kadi ya mchongo.
Kadi nyekundu aliitoa refa na siyo SIMBA SC, Kwahiyo sisi hayo hayatuhusu.

Sisi tunachotaka sasa hivi TFF,BODI YA LIGI NA TAKUKURU wawe macho pale kigoma lake Tanganyika stadium maharamia wa yanga watakapocheza na tawi lao mashujaa.
 
Ilikuwa ushindi wa halali kwa mujibu wa Refa aliyetoa penalty 3 na red card halali ambayo imefutwa na bodi ya ligi au sio bwana mbumbumbu!
Magoli yalikuwa halali ndio maana hayajafutwa.

Mwamuzi kutoa red card hilo ni suala lake binafsi yeye na namna anavyoutafsiri mchezo hatuwezi kumpangia.

Ndiyo maana tunawataka TAKUKURU na JESHI LA POLISI leo wawe macho na manguli wa kupanga matokeo yanga afirika.
 
Suala lake binafsi na pesa mlizompa afanye ayo aliyoyafanya kwanini takukuru wasianzie kwenu?
 
Sasa mfano mtu kapigwa mtama kwenye 18 ikapigwa penalty hapo mara goal TAKUKURU anatakiwa ku prove nn?
 
Ushahidi upo dogo, watu tuna ma secret informer everywhere so take a pill then chill don't be ill.
Nipo Jamiiforums tangu mwaka 2008 japo hii ni ID ya mwaka 2015 unaona sahihi kuniita dogo.

Inawezekana nalingana na mzazi wako.

Unaambiwa weka ushahidi unaleta habari za kufikirika.
 
2008 mbona juzi tu hata siyo kitambo hivo?

Ushahidi hautolewi kwa muhuni tu kama wewe ambaye hata sikujui wala haujulikani popote,ushahidi unatolewa kwenye vyombo husika kama TAKUKURU na jeshi la polisi.
 
Kadi nyekundu aliitoa refa na siyo SIMBA SC, Kwahiyo sisi hayo hayatuhusu.

Sisi tunachotaka sasa hivi TFF,BODI YA LIGI NA TAKUKURU wawe macho pale kigoma lake Tanganyika stadium maharamia wa yanga watakapocheza na tawi lao mashujaa.
Hiyo kadi nyekundu huyo refa aliitoa kwa kosa gani kwa mchezaji wa Namungo? Tena wakati huo matokeo yalikuwa ni 0-0!!

Mimi nadhani hao Takukuru wangeanza uchunguzi wao kwa yule mwamuzi wa mechi ya Namungo vs Simba! Maana ushahidi uko wazi kabisa.
 
Nipo Jamiiforums tangu mwaka 2008 japo hii ni ID ya mwaka 2015 unaona sahihi kuniita dogo.

Inawezekana nalingana na mzazi wako.

Unaambiwa weka ushahidi unaleta habari za kufikirika.
Vitoto vya 2000 reasoning yao iko chini sana. Na ukiendelea kukiuliza maswali magumu, utashangaa kinaanza kukutukana matusi ya nguoni.
 
Mnalitia najisi soka letu kwa mambo yenu ya hovyo ya kupanga matokeo TAKUKURU leo nawashauri wawe macho.

Simba ni timu kubwa na inashinda kihalali dhidi ya namungo game ilikuwa tafu sana mpaka wachezaji wakaamua kutumia uwezo binafsi kuamua mechi.
Wenzio Tff, wameshawashtukia Simba kweny ile Kadi nyekund! Wameifuta tayari,.... Kweli we mshabiki!

Vip leo ukipewa uchezeshe gemu ya mashujaa, utakuwa upande gan
 
Back
Top Bottom