Tatizo letu tanzania hakuna kiongozi wa michezo mwenye moyo wa dhati kuendeleza michezo, tunaona nchi za wenzetu wanavyoaandaa pragram mbali mbali za kukuza michezo na kuzismamia. Ila hapa bongo tunataka kuvuna bila kupanda. Mh Kikwete aliwahi kusema ukitaka kula lazima uliwe, TFF hawataki kuliwa. Uongozi wa michezo unang'aniwa hadi mahakamani, mchezaji anaendelea kucheza hata kama ana kadi 30 za njano na TFF hawana habari, wachezaji wanataka mazoezi wanayoyataka wao, ushindi na ubingwa kwa kuhonga timu ndogo ndogo ndio matekeo yake hayo kwa timu zote za Tanzania.