Tetesi za Siri ya vita ya Rwanda na Congo DRC na kwanini sasa sio jana?

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,771
12,697
Kwanza naomba mapovu yanaruhusiwa na hoja zina ruhusiwa ila mniache nabii nitoe yale nayaona...
Mziki ulianza Mozambique πŸ‡²πŸ‡Ώ na sasa Congo DRC πŸ‡¨πŸ‡© wanaucheza yes the dark days in Tanzania overseas intelligence....
Upo utani unasema nyani akimuona mwanamke basi kazi anayo ila akimuona mtoto wakiume hata kama ni mdogo basi nyani humkimbia yes twende na mimi....
Tanzania kwa miaka yote ni baba wa siasa za Africa 🌍 πŸ˜‘ β™₯️ shime Mwalimu Nyerere tunakukumbuka Baba. Tanzania tumejaliwa na Taifa letu ninyumbani kwa wapigania uhuru wa Africa. Kete hii imetufanya kuwa na nguvu hata yakuweka watawala ktk nchi za Africa na huu uwezo umetuvimbisha bichwa haswaaa ila kwa wale mnasoma thread zangu mtakubaliana na mimi nimekuwa nikilia na idara zetu na kwenendo wa siasa zetu nakuona tunako enda basi kazi itakuwa ngumu.
Nakumbuka kuzitaadharisha idara za Taifa yakuwa mchwa ako kwa nyumba na paa likianguka amesha tafuna nyumba.

M23 wapo vitani na hii vita sio rahisi itakuwa ngumu kwa sababu ya conspiracy. Kagame kwa vyovyote huu ndio muda wake kumalizana na Tz wala sio nini wala nini hayati mch Mtikila aliwahi tuambia wakamalizana naye mapema kwa sasa sio siri Rwanda wanatujuwa vema Tz hata tujificheje wanajuwa siri zetu na huu ndio muda wakumalizana na sisi. Kuanguka kwa serikali ya Congo DRC nikishindo cha maumivu kwa serikali ya Tz. Natusibishane hili laweza tokea labda kama maamuzi magumu yatatokea yaani nyani aone mwanaume atarudi nyuma. Tangu Nyerere mpaka JK Rwanda hajapoa...
Rwanda anawaona Wabantu ndio kitisho cha kesho ya Tutsi na Tz ndio mlezi... SA ndio walewale na alie namba mbili ni uzao wa SA japo kazaliwa Tz ila history inasema wangoni ni wa SA unaweza kuona why Kagame hawez lala.
Pili Kagame ndio chairman EAC je unategemea nini kwa mfano?
 
Huyo kagame anavyopambwa na hicho kirwanda chake kisa tu kunyanyasa migambo ya kongo wacheza mayenu, kama usemavyo ndivyo na ajaribu basi hata kuchukua nusu ekari ya ardhi ya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kisha atanngaze yake, geita si kuna migodi, awatume hao M23 waje kama hajajambia kwenye maji,, kinchi chenyewe kile tunatia bomu mbili tu shughuri tunamaliza,,, ye awaonee hao hao migambo ya kongo mana lile sio jeshi.
 
Hivi Rwanda toka amezaliwa aliwai kupigania Vita na nchi gani akashinda?

Kama ana nguvu kweli kwa Nini 2013 alikimbia uwanja wa Vita?

Msumbiji alikotuma majeshi vipi mrejesho?

Mtu aliyefuatwa na makomandoo wa tz mpaka kwenye Ikulu yake ??

Tanzania inaweza kuwa uchi lakini Rwanda ni watupu hakuna nchi inapekuliwa na Tanzania East Kama Rwanda!!!!

Kagame Hana uwezo wowote wa kupigana Vita na Tanzania !!
 
Warwanda akili kubwa.
Wapo kwenye vyeo vya juu police, TPDF, TISS n.k
Mmoja kashitukiwa akiwa lieutenant colonel kalala mbele.
Vyombo vya ulinzi na usalama Bongo vinatukuzwa sana ila deeply hamna kitu
Wanyarwanda wamejazana kibao Munduli na vyuo vyetu vya kijeshi kufundishwa maswala ya uongozi na skills za kijeshi. Vitu vingine kama hamjui nyamazeni tu, ila hao unao wasifia ni weupe.

Wanao mpa jeuri ni US na EU kwa pamoja wanashirikiana kuiba Colbalt na Coltan ya DRC ndio maana ana kiburi na juzi UN Russia kaongea wazi kwamba Rwanda aondoke DRC,ukiona hivyo anataka kuingia DRC ili awakomoe US na EU.
 
Hii vita ni rahisi sana kuielewa

Congo sehemu zenye madini, wenyeji wanafunkuzwa kupisha uchimbaji, sehemu nyingi zimekuwa rahisi kuwahamisha wenyeji kwasbabu hawana silaha, waoga kujitetea, n.k.

Tatizo lipo Congo ya Mashariki kuna madini mengi lakini wenyeji wamekataa kuhama, wenyeji ni Watutsi.
Sasa kuna visingizio viwili vya kuwatoa watutsi

A. Kisingizio cha kitaifa -

Serikali ya Congo inatengeneza chuki ya kikabila kikabila dhidi ya watutsi, inaaminisha wananchi watutsi wanaihujumu nchi inabidi warudi kwa wenzao Rwanda

So automatically hii ishu ni ya serikali dhidi ya kabila.

M23 wamekuwa walinzi pale miji inapovamiwa na kwa vile ni vita inayolenga kabila, watutsi wa Rwanda nao wanatoa msaada.

B. Kisingizio cha kimataifa -

Serikali ya Congo wanapeleka majeshi kwa kisingizio cha kukomboa Congo ya mashariki, hujificha nyuma ya kivuli hiki kuomba msaada wa kijeshi kwa nchi zingine.

xxxxxxxxxxxx

Congo wakitaka kuwahamisha watutsi wa upande wao waende Rwanda, wakubali kuwamegea ardhi yao waiunge Rwanda au iwe nchi huru.
 
Kwanza naomba mapovu yanaruhusiwa na hoja zina ruhusiwa ila mniache nabii nitoe yale nayaona...
Mziki ulianza Mozambique πŸ‡²πŸ‡Ώ na sasa Congo DRC πŸ‡¨πŸ‡© wanaucheza yes the dark days in Tanzania overseas intelligence....
Upo utani unasema nyani akimuona mwanamke basi kazi anayo ila akimuona mtoto wakiume hata kama ni mdogo basi nyani humkimbia yes twende na mimi....
Tanzania kwa miaka yote ni baba wa siasa za Africa 🌍 πŸ˜‘ β™₯️ shime Mwalimu Nyerere tunakukumbuka Baba. Tanzania tumejaliwa na Taifa letu ninyumbani kwa wapigania uhuru wa Africa. Kete hii imetufanya kuwa na nguvu hata yakuweka watawala ktk nchi za Africa na huu uwezo umetuvimbisha bichwa haswaaa ila kwa wale mnasoma thread zangu mtakubaliana na mimi nimekuwa nikilia na idara zetu na kwenendo wa siasa zetu nakuona tunako enda basi kazi itakuwa ngumu.
Nakumbuka kuzitaadharisha idara za Taifa yakuwa mchwa ako kwa nyumba na paa likianguka amesha tafuna nyumba.

M23 wapo vitani na hii vita sio rahisi itakuwa ngumu kwa sababu ya conspiracy. Kagame kwa vyovyote huu ndio muda wake kumalizana na Tz wala sio nini wala nini hayati mch Mtikila aliwahi tuambia wakamalizana naye mapema kwa sasa sio siri Rwanda wanatujuwa vema Tz hata tujificheje wanajuwa siri zetu na huu ndio muda wakumalizana na sisi. Kuanguka kwa serikali ya Congo DRC nikishindo cha maumivu kwa serikali ya Tz. Natusibishane hili laweza tokea labda kama maamuzi magumu yatatokea yaani nyani aone mwanaume atarudi nyuma. Tangu Nyerere mpaka JK Rwanda hajapoa...
Rwanda anawaona Wabantu ndio kitisho cha kesho ya Tutsi na Tz ndio mlezi... SA ndio walewale na alie namba mbili ni uzao wa SA japo kazaliwa Tz ila history inasema wangoni ni wa SA unaweza kuona why Kagame hawez lala.
Pili Kagame ndio chairman EAC je unategemea nini kwa mfano?
πŸ™†πŸ½β€β™‚οΈπŸ™†πŸ½β€β™‚οΈπŸ™†πŸ½β€β™‚οΈ mm baada ya kusema chairman wa EAC nikagame nikaona tu ujielew tatzo mnaleta mada za kweny kahawa humu ivi kwanza unaongelea mtu anashndwa kumtishia aliye karibu Tz then anaenda kumtishia aliyekuwa mbali SA kwa nn anamsaidia congo
 
Kwanza naomba mapovu yanaruhusiwa na hoja zina ruhusiwa ila mniache nabii nitoe yale nayaona...
Mziki ulianza Mozambique πŸ‡²πŸ‡Ώ na sasa Congo DRC πŸ‡¨πŸ‡© wanaucheza yes the dark days in Tanzania overseas intelligence....
Upo utani unasema nyani akimuona mwanamke basi kazi anayo ila akimuona mtoto wakiume hata kama ni mdogo basi nyani humkimbia yes twende na mimi....
Tanzania kwa miaka yote ni baba wa siasa za Africa 🌍 πŸ˜‘ β™₯️ shime Mwalimu Nyerere tunakukumbuka Baba. Tanzania tumejaliwa na Taifa letu ninyumbani kwa wapigania uhuru wa Africa. Kete hii imetufanya kuwa na nguvu hata yakuweka watawala ktk nchi za Africa na huu uwezo umetuvimbisha bichwa haswaaa ila kwa wale mnasoma thread zangu mtakubaliana na mimi nimekuwa nikilia na idara zetu na kwenendo wa siasa zetu nakuona tunako enda basi kazi itakuwa ngumu.
Nakumbuka kuzitaadharisha idara za Taifa yakuwa mchwa ako kwa nyumba na paa likianguka amesha tafuna nyumba.

M23 wapo vitani na hii vita sio rahisi itakuwa ngumu kwa sababu ya conspiracy. Kagame kwa vyovyote huu ndio muda wake kumalizana na Tz wala sio nini wala nini hayati mch Mtikila aliwahi tuambia wakamalizana naye mapema kwa sasa sio siri Rwanda wanatujuwa vema Tz hata tujificheje wanajuwa siri zetu na huu ndio muda wakumalizana na sisi. Kuanguka kwa serikali ya Congo DRC nikishindo cha maumivu kwa serikali ya Tz. Natusibishane hili laweza tokea labda kama maamuzi magumu yatatokea yaani nyani aone mwanaume atarudi nyuma. Tangu Nyerere mpaka JK Rwanda hajapoa...
Rwanda anawaona Wabantu ndio kitisho cha kesho ya Tutsi na Tz ndio mlezi... SA ndio walewale na alie namba mbili ni uzao wa SA japo kazaliwa Tz ila history inasema wangoni ni wa SA unaweza kuona why Kagame hawez lala.
Pili Kagame ndio chairman EAC je unategemea nini kwa mfano?
Acha ujinga wewe, mwambie basi atushambulie
 
Chairman ni Ruto.
 
Back
Top Bottom