Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,770
- 121,817
Wanabodi,
Declaration of interest.
Kwa vile mimi ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM na niliomba fomu kupitia CCM kuomba kupitishwa kugombea ubunge wa jimbo la Kawe, kwa tiketi ya CCM, ila watu wanaitwa Wajumbe wakafanya yao. Tulikuwa wagombea 176, tunatafuta nafasi moja!, hivyo ilikuwa ni hakuna namna, ili mtu upite katika mchakato kama huo, ni lazima ufanye mambo!.
Hivyo naomba bandiko hili lisichukuliwe kama fursa ya mimi kumchafua Gwajiboy ili atemwe, nigombee tena!. Naomba ku declare my interest, sina mpango wowote kuomba tena tiketi ya kusimamishwa na chama changu CCM, kuwania kugombea ubunge wa Kawe hata bure, Wajumbe walichonifanya ile 2020, kimenitosha, sitathubutu tena kujaribu, ila kwa vile mwaka 2022 ni mwaka wa uchaguzi wa ndani wa CCM, nitawania nafasi ambazo wajumbe sio determinant.
Kuhusu Tetesi
Ni habari unazozisikia juu juu sio kutoka any reliable source, zinaweza kuwa ni za kweli, au sometimes ni uongo, uzushi, fitna na majungu tuu!. Mimi kama mwandishi wa habari, ukipata tetesi kama hii, nilipaswa kuitreat as a news tip, nilitakiwa kuifanyia kazi kwa kui verifies kwa kui check na cross check from reliable sources, lakini kwa vile sasa tunaishi kwenye the world of information age, na sisi mtandao huu wa jf, kwa miaka mingi umejitengea reputation ya be the first to know, nimeileta hii humu jf, kukupa wewe mwana jf, ile the jf advantage to be the first to know. Na kwa msio nifahamu, hii sio mara yangu ya kwanza kuleta tetesi humu jf, halafu tetesi hiyo ikaja kuwa kweli. Wakati Watanzania wakisubiria kumjua mgombea urais wa CCM wa uchaguzi Mkuu wa 2015, wana jf walikuwa wa kwanza kumjua, wao walimjua toka mwaka 2014!.
www.jamiiforums.com
Chanzo cha Tetesi
Kwa msio fahamu, mimi na kampuni yangu ya PPR ni wahanga wa mdororo wa uchumi uliosababishwa na Covid 19. Hivyo nililazimika kuuza magari yote, na sasa usafiri wangu ni TZ 11, Boda Boda, Dala Dala na mara moja moja Uber na Bolti.
Leo nikaita Bolt fulani, kumbe ni bolt ya kada. Kada akaona jina langu, hivyo nilipoingia tuu ndani ya gari, dereva akanisalimia kwa kunichangamkia, na kuniuliza, vipi haujaribu tena?, jimbo limeisha tangazwa kichini chini liko wazi!. Askofu Gwajima amemwagwa rasmi, ila haijatangazwa rasmi!.
Mtoaji habari wangu akasema Salama pekee ya Askofu Gwajima kuendelea na ubunge wake wa Kawe ni kujitokeza kuchanjwa hadharani, vinginevyo, it's a gone case!.
"Hivyo kama bado uko interested na Kawe jimbo liko wazi wewe tuu!.
Nilimweleza ukweli wangu, I'm not interested!.
My Take.
Japo mimi ni naunga mkono chanjo na siungi mkono viongozi wa umma kugomea chanjo waziwazi na hadharani
www.jamiiforums.com
www.jamiiforums.com
www.jamiiforums.com
Kama tetesi hii ni kweli, kwa vile chanjo ni hiyari, jee kwenye hili la chanjo, Askofu Gwajima kosa lake ni lipi?!.
Kama ni msimamo wake ni kupinga chanjo ya Corona, waziwazi kwa vile chanjo ni hiyari, wanao support Chanjo waeleze umuhimu wa chanjo.
Ila pia wapinga chanjo with facts, waruhusiwe kuipinga chanjo with facts na wasikilizwe na sio watishiwe kupokwa ubunge!.
Gwajima avuliwe ubunge kwa kosa lipi?. Hii tetesi itakuwa ni uongo tuu, nilidhani JPM alimaliza yale mambo ya Chama changu CCM, kugubikwa na mambo ya majungu, fitna, zengwe, na zile sayansi jamii!. Namuomba Mwenyekiti wangu atumie kiti, asiruhusu hili litokee, japo with CCM, anything is possible!, maana nikiikumbuka ile list ya watu 176, na kulikuwa na watu wazuri ajabu, very credible, unashangaa aliyepitishwa alipita pitaje, hivyo pia sitashangaa kama utatumika mlango ule ule alioingilia, kutokea!.
Lets wait and see.
Nawatakia maandalizi mema ya kuuaga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya.
Paskali

Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Wanabodi, Leo nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi tuliyepotezana naye kipindi kirefu nyuma, ambaye ni mtu wa sehemu na wa kuaminika sana ambaye yuko attached CCM kama kada tuu wa kawaida wa Chama cha Mapinduzi-CCM, akanieleza seriously habari za kushtusha kidogo ambazo mimi zimenitisha...
Chanzo cha Tetesi
Kwa msio fahamu, mimi na kampuni yangu ya PPR ni wahanga wa mdororo wa uchumi uliosababishwa na Covid 19. Hivyo nililazimika kuuza magari yote, na sasa usafiri wangu ni TZ 11, Boda Boda, Dala Dala na mara moja moja Uber na Bolti.
Leo nikaita Bolt fulani, kumbe ni bolt ya kada. Kada akaona jina langu, hivyo nilipoingia tuu ndani ya gari, dereva akanisalimia kwa kunichangamkia, na kuniuliza, vipi haujaribu tena?, jimbo limeisha tangazwa kichini chini liko wazi!. Askofu Gwajima amemwagwa rasmi, ila haijatangazwa rasmi!.
Mtoaji habari wangu akasema Salama pekee ya Askofu Gwajima kuendelea na ubunge wake wa Kawe ni kujitokeza kuchanjwa hadharani, vinginevyo, it's a gone case!.
"Hivyo kama bado uko interested na Kawe jimbo liko wazi wewe tuu!.
Nilimweleza ukweli wangu, I'm not interested!.
My Take.
Japo mimi ni naunga mkono chanjo na siungi mkono viongozi wa umma kugomea chanjo waziwazi na hadharani
#COVID19 - Kama Taifa limekubali chanjo ndio maslahi ya Taifa, Viongozi wote wanakuwa Bind na A Collective Responsibility Clause. Must support, Shut up or quit!
Wanabodi, Nimemsikia Mbunge wangu Mhe. Askofu Gwajima akipinga chanjo ya Covid na sio tu kuhamasisha watu waikatae bali hadi kutishia kwa kuwahukumu kifo, wote watakao wachanja watu! Askofu wetu anahitaji kuelimishwa, kwanza yeye, kama Mbunge, ni mtumishi wa umma wa Watanzania wote, kisha ndio...
#COVID19 - Baada ya Kukubali Chanjo, na Rais Samia Kuchanja, Kiongozi yeyote anayepinga Chanjo hadharani ni 'Insubordination' na usaliti
Wanabodi, Hii ni mada mwendelezo wa mada hii ya wiki iliyopita Kwa vile zoezi la chanjo ya Uviko linaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa inaendelea kujikita kwenye chanjo, leo nikiangazia hoja ya uhiari wa Chanjo. Japo chanjo ni hiari, hiari ya chanjo ni hiari ya consent kama ilivyo kwenye...
#COVID19 - Pascal Mayalla: Viongozi wa Umma wajitokeze kuchanjwa, wasiopenda wakae kimya
Leo tarehe 02 Agosti 2021, waandishi wa vyombo mbalimbali vya Habari walipata chanjo dhidi ya UVIKO 19 pale Karimjee Dar. Miongoni mwa waliopokea chanjo ni mwandishi nguli Pascal Mayalla. Katika mahojiano aliongea jambo muhimu sana kuhusu hili zoezi la chanjo. Amewataka viongozi wote wa umma...