Yoda JF-Expert Member Jul 22, 2018 45,317 63,805 Aug 8, 2024 #1 Ni tetemeko la ardhi la ukubwa wa ritcher 7.1, limetokea kusini mwa Japan. Tahadhari ya kutokea Tsunami yatolewa na mamlaka.
Ni tetemeko la ardhi la ukubwa wa ritcher 7.1, limetokea kusini mwa Japan. Tahadhari ya kutokea Tsunami yatolewa na mamlaka.
S Salary Slip JF-Expert Member Apr 3, 2012 48,671 149,858 Aug 8, 2024 #2 Hii nchi ni shida sana japo zina maendeleo.
Yoav Gallant JF-Expert Member May 23, 2023 1,691 3,796 Aug 8, 2024 #3 Japan inapigwa sana na matetemeko hasa mji wa Kumamoto
Tsh JF-Expert Member Aug 26, 2021 15,341 33,469 Aug 8, 2024 #4 Brigedia Gen said: Japan inapigwa sana na matetemeko hasa mji wa Kumamoto Click to expand... Aisee.