Temporary Teacher:Wenye uwezo Wa kufundisha sayansi O'level wanahitajika.

Weka waz malipo ili kumshawixhi mwanasayasi toka Tanga,Dodoma,Moshi...,,,,
Mkuu Mimi niliwahi kufundisha shule hiyo 2014 na pia 2015 wakti Wa likizo ya chuo.Mshahara ulikuwa 150000/= kipindi hicho.But kwa maelezo zaidi amtafute mkuu Wa shule amuulize namba za simu ziko wazi.
 
Weka Vizuri Namba Za Huyo Mkuu Wa Shule Au Weka Maelezo Ya Tangazo Tucheck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…