Nimedownload app inaitwa Type while walk. Zipo nyingine kama Typeewalkee lakini najua user experience ni the same kwa kuwa zinatumia same principle ya kuwasha camera ya nyuma ili uweze kuona chini na kukupa text editor.
Nimeijaribu nje nimeishia kujikwaa tu labda mpaka uizoee kidogo kwamba camera ndo macho yako mapya. Kwenye tiles nimetembea fresh.
Keyboard yake sio nzuri sana kama umezoea zile za kawaida na maneno hayasomeki vizuri
Kwa aidia ni nzuri lakini kibongobongo utaishia kugongwa na magari.
Kama unataka kuona watu walivyoireview na kuisifia nenda playstore usome comment za baadhi watu may be inaweza kubadilisha mawazo yako. Yangu ndo hayo.