Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,669
- 119,282
Wanabodi
Kwanza wale wenye access, Watch, TBC 1 na TBC 2...shuhudia...!.
Kwa watu wasiojua what it takes kurusha matangazo ya TV live mubashara kutoka sehemu mbili tofauti kwa wakati mmoja, mnaweza msielewe, hapa ninashangaa nini!.
Kiukweli kituo cha Television ya Taifa, TBC, kimetisha!. Kitendo cha kurusha matangazo ya moja kwa moja, Live Mubashara kutoka maeneo mawili tofauti kwa wakati mmoja, sio jambo dogo!. Hongera sana Dr. Ayub Rioba na timu yako.
Live moja ni kutokea jijini ya Dodoma kwenye maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Posta Duniani, live hiyo iko live on TBC1. Wakati huo huo, yaani at the same time, kuna Live ya pili ikitokea Arusha, kwenye uzinduzi wa maonyesho ya Utalii ya Africa Mashariki ambayo iko TBC2- maarufu Safari Channel.
Matangazo ya moja kwa moja ya Redio au TV yanaitwa OB, au Outside Broadcasting.
Ili kituo cha TV kiweze kurusha live, lazima uwe na dude kama hili.
Hilo dubwana, lione tuu kwa nje kama lori tuu, humo ndani shughuli yake sio mchezo!.
Hii inamaanisha sasa TBC inayo hii midude zaidi ya moja.
Leo ndio mara yangu ya kwanza kushuhudia live mbili concurrently zikirushwa na kituo kimoja cha TV. Kwa nchini Tanzania, ukiondoa live za DSTV, na zile za Azam, TBC ndio imefungua pazia la live mbili kwa wakati mmoja. Huu ni uthibitisho TBC ndio TV kiongozi nchini Tanzania.
Hongera sana TBC.
TBC Baba Lao.
Paskali

TBC Yafanya Kweli!, Yashusha OB Van ya Kufa Mtu!, Ina Kamera 12!. Itarusha HDV Signal Kama DSTV.
Wanabodi, Heri ya Pasaka, Mara moja moja huwa ninatembelea Kituo cha TBC kwa shughuli zangu, leo Jumapili ya Pasaka nimepita pale na kuushuhudia bonge la OB Van mpya ya Kufa Mtu ikitua TBC!, kwa maelezo ya juu juu, OB Van hii, ina Kamera 12!, na moja ya camera hizo ni camera ya slow motion...
www.jamiiforums.com