Mr_Ndagiwe99
New Member
- Jun 2, 2024
- 3
- 2
Utangulizi
Kila teknolojia huanzia na ndoto, fikra bunifu za kubadilisha dunia. Kwa Tanzania, ndoto hiyo ina umuhimu wa kipekee katika kujenga taifa imara, linalowezeshwa na teknolojia ya kisasa. Hii ndio "TANZANIA TUITAKAYO."
Nyakati hizi za kidigitali, nchi yoyote isiyokubali mabadiliko ya kidigitali itakuwa nyuma katika mashindano ya kiuchumi na kijamii. Tanzania, kama nchi nyingine nyingi, inakabiliwa na changamoto mbalimbali katika kufuata mkondo wa teknolojia ya kisasa. Hata hivyo, tunapaswa kujenga Tanzania yenye mafanikio makubwa ya kiteknolojia na kuwa na mtazamo wa ubunifu na uvumbuzi.
Hali ya Teknolojia ya Sasa Tanzania na Changamoto Zake
kutegemea simu za mkononi na intaneti kwa ajili ya mawasiliano, biashara, na burudani. Kwamujibu wa takwimu za sensa za makazi
Watu wanaotumia simu za mkononi: 89.1% ya wakazi (2023)
Hata matumizi ya mtandao yamekua makubwa katika huduma mbalimbali ikiwemo huduma za kifedha
figure1: source tcra
Hata hivyo, bado kuna changamoto kadhaa zinazozuia ukuaji kamili wa sekta hii. Ambazo ni pamoja na:
Upatikanaji wa miundombinu duni:
Sehemu kubwa ya Tanzania bado haina huduma za intaneti za kuaminika na za kasi. Hii inazuia watu wengi kufikia fursa za mtandaoni. Kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2023
-Kasi ya wastani ya intaneti ya simu za mkononi: 3G (2023)
-Watu wanaotumia intaneti: 8.1% ya wakazi (2023)
Ukosefu wa ujuzi wa kiteknolojia:
Kuna uhaba wa wafanyakazi wenye ujuzi wa kiteknolojia nchini Tanzania. Hii inafanya iwe vigumu kwa biashara kupata wafanyakazi wanaohitaji na kuendeleza teknolojia mpya.Kwa mujibu wa takwimu mbalimbali
Gharama kubwa wa huduma ya intaneti:
Teknolojia inaweza kuwa ghali kwa watu wengi nchini Tanzania.Wadau mbalimbali wameonesha kutokupendezwa na gharama za intanet kuwa juu mno
Hii inawazuia wanafunzi na wafanyabiashara kuendana na kasi ya sasa ya dunia ya leo.
Gharama kubwa ya vifaa vya kiteknolojia:
Kompyuta ya mkononi ya wastani inagharimu 40% ya mshahara wa kila mwezi (2023) ,lakini pia fifaa vingine kama simu janja zinagharama kubwa hivyo wananchi wengi hasa waishio vijijini kushindwa kumudu
Mapendekezo ya maboresho kwa Teknolojia ya Tanzania Ijayo
Ili kushinda changamoto hizi na kufikia maono ya Tanzania Tuitakayo, hatua zifuatazo zinapendekezwa:
Kuwekeza katika miundombinu ya kidijitali:
Serikali inapaswa kuwekeza katika kupanua upatikanaji wa huduma za intaneti za kasi na za kuaminika kwa watu wote nchini Tanzania. Hasa kwa maeneo ya vijijini
Kuimarisha mfumo wa elimu na mafunzo:
Kuongeza elimu ya sayansi, teknolojia, uhandisi na hesabu (STEM) katika ngazi zote za elimu ili kujenga rasilimali watu wenye ujuzi
figure2: source mwananchi
Kuunga mkono ujasiriamali wa kiteknolojia: Serikali inapaswa kutoa motisha kwa vijana kuanzisha biashara za kiteknolojia. Hii itasaidia kukuza uvumbuzi na ukuaji wa sekta ya teknolojia.Ikiwemo uanzilishi wa kampeni mbalimbali za uvumbuzi mashuleni na vyuoni
figure3: source tcra
Kuhamasisha matumizi ya teknolojia katika sekta mbalimbali: Kutumia teknolojia katika kilimo, afya, biashara, na sekta nyingine ili kuongeza tija na ufanisi.
Kuimarisha udhibiti na usimamizi: Kutengeneza sera na sheria madhubuti za kukuza na kusimamia ukuaji wa teknolojia nchini.
Kushirikisha sekta binafsi na jamii: Kujenga ushirikiano na sekta binafsi na jamii ili kupata uwekezaji, uvumbuzi, na ushiriki wa jamii katika maendeleo ya teknolojia
Hitimisho
Kwa uwekezaji unaofaa na sera sahihi, Tanzania inaweza kufikia maono yake ya kuwa kiongozi wa teknolojia barani Afrika. Teknolojia ina uwezo wa kuboresha maisha ya watu wa Tanzania kwa njia nyingi, ikiwa ni pamoja na kuunda ajira mpya, kuboresha huduma za afya, na kuimarisha uchumi. Kwa kushirikiana, serikali, sekta binafsi, na jamii zinaweza kuhakikisha kuwa Tanzania Tuitakayo inakuwa ukweli

- Watu wenye ujuzi wa kompyuta: 21% ya wakazi (2020)
- Wanafunzi waliojiunga na programu za STEM: 35% ya wanafunzi wa shule ya sekondari (2020)
- Wahitimu wa vyuo vikuu katika nyanja za STEM: 4% ya wahitimu wote (2020)