tekno c5

ora

JF-Expert Member
May 21, 2016
1,198
1,122
Habari zenu wana JF
naomba kwa anaejua, anisaidie jinsi ya kublock incoming call & sms
kwa simu ya tekno C5 anielekeze..
 
Ingia play store.. search app inaitwa true caller.. inaoption ya kublock..
uki block
haziji kweli ?.
maana zingine ukiblock bado simu zinaleta notification
zina leta sms
 
uki block
haziji kweli ?.
maana zingine ukiblock bado simu zinaleta notification
zina leta sms
Shit! Shit, sasa wewe si ujaribu tu au? Unategemea jamaa akujibu nini hapo sasa? Au na wewe ni miongoni mwa wale madent wa UDOM walitolewa nduki na mkulu na kupewa lile jina linaloishia na herufi ya '.... ZA'?
 
sijasoma hata form one sikufika
 
Habari zenu wana JF
naomba kwa anaejua, anisaidie jinsi ya kublock incoming call & sms
kwa simu ya tekno C5 anielekeze..
ILI UPATE OPTION YA BLACKLISTS NENDA SECURITY SETTING AU CALL SETTING THEN INGIZA NAMBA YA UNAYOTAKA KUREJECT KWA KUWEKA TICK CALL INTERCEPTION AND SMS INTERCEPTION HAPO MTU AKIPIGA NA KUTUMA TEXT ZITAISHIA HEWANI
 
Hizi app za kupakua ni hovyo kabisa.

Isave namba husika kisha unapoingia ktk phone book, fungua jina husika kisha bofya option (kitufe cha chini pembeni tofauti na cha kurudi nyuma "back") hapo utaona option husika.

Tofauti na hiyo download AVG antivirus ktk kipengele cha privacy kuna option ya kublock sms na call.
Hiyo ndiyo pekee nnayoiamini ktk app za kupakua.
 
ILI UPATE OPTION YA BLACKLISTS NENDA SECURITY SETTING AU CALL SETTING THEN INGIZA NAMBA YA UNAYOTAKA KUREJECT KWA KUWEKA TICK CALL INTERCEPTION AND SMS INTERCEPTION HAPO MTU AKIPIGA NA KUTUMA TEXT ZITAISHIA HEWANI
nmetafuta hio option sijaona mpaka sasa hivi
 
naomba kama kuna uwezekano wa ku screenshot hizo hatua unionyeshe
 
naona pa kublock calls tu
 
naona pa kublock calls tu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…