Tecno w4

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
664
176
Wadau kwa waliowai kuitumia hii tecno w4, je!inafaa kwa matumizi ya kawaida na bei yake ni shilingi ngapi!
 
We tafuta cm nyingine w4 sio. Touch yake iko low sana sio laini na ubora wa screen ni low, kingine kwenye network kidogo inasumbua unaweza ukapigiwa lakini unakuwa hupatikani marapengine hewani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…