Tecno C8 vs Tecno C9

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
15,862
23,153
Habari zenu wakuu.Ninayo heshima kwenu kupata ushauri mzuri wa kufahamu tofauti na ubora wa hizi simu.

Ushauri wenu utasaidia wengi kupata kifaa bora kwa matumizi hasa ya habari na mawasiliano.

Ni ipi bora hasa upande wa kamera?.
 
Ni ngumu kwa sasa kutoa sifa zake. Hii simu ndio imetoka tu.
 
Mchina amewashika wabongo kweli kweli, anacheza na housing ya simu tu. Mpaka mje mbumburuke mshaliwa sana, tecno na yumbu wake lol!
Vibaya hivo kumbuka binadamu tunatofautiana mambo mengi usiwaite wenzio nyumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…