Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 26,420
- 80,699
akha! hivi kuna walevi na wafuska..?Haha Kanisa badala lipambane na mapadri wafuska na walevi haha ikaangaike na Wasafi
Huko CCM Kwasababu ya udogo wa akili, Kila kitu mnakichukulia Kwa mazoea.Haha Kanisa badala lipambane na mapadri wafuska na walevi haha ikaangaike na Wasafi
Eehhh ndo walewale, wote ni CCM.Wasafi media ndio ya Mwijaku?
Wasafi Media wachukuliwe hatua Mara Moja.Kadinali sio kiongozi wa kanisa katoliki Tanzania,kanisa katoliki halina kiongozi mkuu wa nchi.
Kapagawa huyo.akha! hivi kuna walevi na wafuska..?
Hawatujui wakatoliki tulivyo imara na ukatoliki wetu. Tumesemwa vibaya na kusingiziwa mengi kwa zaidi ya miaka 2000 lakini bado tuko imara na tunaongezekaNdugu zangu katika Kristo YESU.
Zama zimebadilika, Kwa Sasa ni zama za Kuwawajibisha wote wanaojaribu kupandikizia watu Maneno.
Ninawaomba TEC kama mtasoma Uzi Huu, kabla ya WASAFI HAWAJAFUTA HABARI HII.
Muwachukulie Hatua Mara Moja, WASAFI KWA MAKUSUDI NA KWA KUJUA , Wametumia Maneno ya Kardinali Rugambwa, na kujitengenezea habari Yao wenyewe ikimaanisha, KARDINALI RUGAMBWA, Amemuonya na kumkemea Askofu Walfgang Rais wa TEC Kwa kile alichokisema Kama Msimamo wa TEC.
WADAFI Media wamefanya hivo, wakijua ni makosa, lakini kwao waliona kitendo Cha Kutuma maneno ya Kardinali Rugambwa Kiongozi wa Katoliki Tanzania kuyageuza kua habari dhidi ya RAIS WA TEC, kutatia mpasuko Ndani ya KANISA LA RC.
unaweza sema LENGO LA WASAFI MEDIA ni kuleta machafuko, mpasukondani ya KANISA LA RC , kwamba ionekane Maneno ya RAIS WA TEC, Si Maneno ya TEC, hii yote ni kuwafanya Waumini wa RC na Wapenda Hali wachanganyikiwe .
View attachment 3312182
Hivo ni RAI yangu, KWAKUA WASAFI MEDIA wamefanya kosa kubwa dhidi ya KANISA , KANISA LIWACHUKULIE HATUA MARA MOJA.
Ushahidi Huu hapa Ndugu zangu..
Someni Kichwa Cha Habari ,na Maneno ya Kardinali Rugambwa, huku wakutumia Picha ya RAIS WA TEC.
View: https://youtu.be/h7jZ20YwUS8?si=pyaRtSctM16nsbKp
Hao ni Vijana wa Lumumba, akili kichwan hamna.Kapagawa huyo.
Utakuta aliyetengeneza hiyo propaganda ni katoto tu ka gen Z. Bado kananuka maziwa. Kweli ndio kalihangaishe kanisa kweli..?Hawatujui wakatoliki tulivyo imara na ukatoliki wetu. Tumesemwa vibaya na kusingiziwa mengi kwa zaidi ya miaka 2000 lakini bado tuko imara na tunaongezeka
Mkuu mbona ni akili ya chekechea tu kujua ili halijakosewa kimakakati, Mwandishi wa habari hiyo, neo Hilo Amkea, amelikosea Kwa bahati mbaya alilenga kusema amkemea .KARDIMAL RUGAMBWA AMKEA VIKALI ASKOFU ALIYETOA TAMKO KINYUME NA MSIMAMO WA KANISA.
Hapo kwenye bold pamokosewa kimkakati.
Mwanzisha mada ungesoma between the lines usingeanzisha hii threads .
Hao wasafi wanajua wanafanya upotoshaji ndio maana wamekosea hilo neno.
Sasa wakipelekwa mahakamani hilo neno "AMKEA" litapewa maana gani?
Saa nyingine msipende kukurupuka kupost vitu vya hovyo .
Vitu vingine ukukutana navyo unatakiwa ukielewe na kisha uachane nacho
Acha ujinga Mkuu.... Hiyo ni Main Media, upotoshaji wowote wa makusudi wenye Nia mbaya,SIO WA KUPUUZWA .Kanisa lina mambo mengi ya kutilia maanani sio huu ujinga wa kuhangaika na media za kipumbavu. Acha wafurahishe mioyo yao.