Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 26,419
- 80,697
Ndugu zangu katika Kristo YESU.
Zama zimebadilika, Kwa Sasa ni zama za Kuwawajibisha wote wanaojaribu kupandikizia watu Maneno.
Ninawaomba TEC kama mtasoma Uzi Huu, kabla ya WASAFI HAWAJAFUTA HABARI HII.
Muwachukulie Hatua Mara Moja, WASAFI KWA MAKUSUDI NA KWA KUJUA , Wametumia Maneno ya Kardinali Rugambwa, na kujitengenezea habari Yao wenyewe ikimaanisha, KARDINALI RUGAMBWA, Amemuonya na kumkemea Askofu Walfgang Rais wa TEC Kwa kile alichokisema Kama Msimamo wa TEC.
WADAFI Media wamefanya hivo, wakijua ni makosa, lakini kwao waliona kitendo Cha Kutuma maneno ya Kardinali Rugambwa Kiongozi wa Katoliki Tanzania kuyageuza kua habari dhidi ya RAIS WA TEC, kutatia mpasuko Ndani ya KANISA LA RC.
unaweza sema LENGO LA WASAFI MEDIA ni kuleta machafuko, mpasukondani ya KANISA LA RC , kwamba ionekane Maneno ya RAIS WA TEC, Si Maneno ya TEC, hii yote ni kuwafanya Waumini wa RC na Wapenda Hali wachanganyikiwe .
Hivo ni RAI yangu, KWAKUA WASAFI MEDIA wamefanya kosa kubwa dhidi ya KANISA , KANISA LIWACHUKULIE HATUA MARA MOJA.
Ushahidi Huu hapa Ndugu zangu..
Someni Kichwa Cha Habari ,na Maneno ya Kardinali Rugambwa, huku wakutumia Picha ya RAIS WA TEC.
View: https://youtu.be/h7jZ20YwUS8?si=pyaRtSctM16nsbKp