Kupitia mtandao wa transfermarkt lionel messi ametajwa kama mchezaji ghali zaidi ulimwenguni kwa sasa akiwa na thamani ya euro million 120 akifuatiwa na cristiano ronaldo pamoja na neymar junior wenye thamani za million 100 euro kila mmoja
lakini kwa upande wa bara la afrika mchezaji ghali zaid ni pierre aubameyang mwenye thamani ya 65 million euro huku kidunia akiwa nafasi ya 12 na katika ligi ya ujerumani akiwa mchezaji wa pili nyuma ya roberto lewandowsk mwenye thamani ya 80 million euro ,
kifuatacho ni kikosi cha wachezaji kutoka afrika wanaoweza kuunda team ya afrika kwa kuangalia thamani ya mchezaji katika nafasi husika
carlos -kameni ...............malaga euro 4
sergie -aurier.......................PSG euro 15
abdulahman -baba.......................Shalke 04 euro 17
eric -bailly........................man u euro 25
joel - matip......................liverpool euro 20
victor - wanyama .............totenham euro 18
KWA TAARIFA ZAID GUSA LINK HAPO CHINI KWENYE NENO WABONGO