FTC na Diploma ya Ufundi kama inavyoitwa sasa ili ujiunge nayo lazima uwe umefaulu kidato cha nne kiwango cha chini kabisa ni division three, tena lazima combination ya PCM au ya sayansi isiyo na F ya mathematics ikubali. Yaani kama kuna mwenye division four yoyote amejoin FTC au Diploma ya ufundi, muweke hadharani faster atumbuliwe sambamba na jesika. Na ujue programmes zote hizo ni za miaka mitatu, tena hapo kama ulisonga vizuri bila kurudia mwaka