Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,679
- 23,546
Wauza simu wa Kariakoo mtaa wa Aggrey , Makumbusho na Mwenge wanaongoza kwa kuuza "copy" ya simu halisi!
Hawa wauzaji wanachanganya na simu original na feki kuhadaa wanunuzi ambo wengi wanatoka mikoani na kuamini ni original.
Simu yeyote ukikuta ina ki-dude kama maskini tape na haipo kwenye boksi ujue ni feki, Utakuta Simu aina ya "tunda" la bustani ya Eden mpya kabisa unauziwa laki 4 wakati bei yake pale Marekani ni milioni 2.
Utakuka simu ya mkorea kusini , inauza laki 6 wakati bei yake ni milioni 3 kwa huko mbele.
Wauza simu, sijui wanaokopesha, zote ni simu feki, hakuna simu original inayouzwa kariakoo.
Stika ikibanduliwa ndio umeondoa warantii, TCRA saidieni watanzania.
TCRA: Izifungie hizi simu feki, na pia kuwakamata wauzaji wote na waingizaji wa hizi simu . Wanafunzi karibu wote wa UDSM,TIA,IFM , MZUMBE na TUDARCO.