TBT: Cheche alizotema Hayati Magufuli Bungeni kwa watu walijenga kwenye eneo la hifadhi ya barabara

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Aug 29, 2022
790
1,671
Wakuu hee!

Leo tujikumbushe kidogo aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi hapa alikuwa bungeni akieleza kuwa amewahi kuvunja ukuta wa marehemu baba yake kwa sababu ya kuwa kwenye eneo la hifadhi ya barabara.

 
Tatizo watu wa design hii sio rahisi kudumu kwenye uongozi. Kipindi fulani kuna Waziri fulani
aliamuru samaki wa kitoweo kilicholetwa canteen ya bunge wapimwe kwa ruler. Nadhani huyu Bwana angeendelea kushikilia Wizara husika sasa hivi Tanzania tungekuwa mbali
 
Back
Top Bottom