winky
Senior Member
- May 8, 2013
- 140
- 111
Wito wangu ni kwa Mh Rais.. tunaomba uziangalie hizi taasisi mbili kwa upya kwa sababu hawafanyi kazi zao zinavyopaswa na kuumiza watanzania kwa kiasi kikubwa sana.
TBS IMESHINDWA KUWAJIBIKA VITU FAKE NI VINGI NA VIMETAPAKAA NA HAKUNA ANAYESHUGHULIKA
Tukianza kuanzia mafuta,sabuni (vipodozi kwa ujumla), chakula, vinywaji hasa pombe kali, vifaa vya electronics ndo usiseme yaani tv na simu ni feki mpaka feki tena.
vitu vinavyoingizwa nchini ni fake sana na hawa hawaogopi wala kuulizwa na vinauzwa bila woga. yaani hii nchi imegeuzwa jalala la vitu vibovu na TBS wamebariki hilo.
Nasikitika kuona TBS haina hata task force ya kukagua kwenye mabandari na airport, haina task force ya kukagua hawa sourcing agents wanaoagiza bidhaa nje na kuingiza nchini kwa jinsi bidhaa zao zilivyo hatari na mbovu wamerelax.
Inaonyesha kuna rushwa kubwa inatembea kwa TBS ndo mana wako kimya saaana zamani tuliona shehena zikichomwa lakini saivi wanapewa rushwa za mamilioni na kuachia mizigo. KAZI YAO NI MIPAKANI NA KUKAGUA SOKO LA KKOO TU ILI WAPATE CHOCHOTE lakini sio maeneo mengine na kinyume na hapo hawana habari.
HAWANA HABARI NA UBORA WA BIDHAA YOYOTE
Huku mtaani pombe kali feki zimejaa kuna hadi pipi za kichina hata expire date zimeandikwa kichina watoto wanakula na wala hamstuki.
TFDA ndugu zenu nao madawa yanauzwa online kiholela tu wako kimya tena ya kupunguza mwili yametapakaa sana yanawadhuru watu hadi wanafariki wao wapo wamekaa ofisini tu hawana habari.
SASA NENDA KAOMBE VIBALI HIZI TAASISI NI MLOLONGO MREFU NA KUPIGWA CHENGA HADI UNAKOMA, HADI UTOE CHOCHOTE NDO VITU VINAENDA.
hizi taasisi zimeacha kufanya wajibu wake na kuwaumiza watanzania kwa makusudi na. kuongeza ugumu wa maisha mara mbili.
kwa mf: mtu unanunua blender ama tv inakaa mwezi imeungua na ukirudisha ni wasumbufu na hamna kwa kuwashtaki. lakini kungekuwa na usimamizi hivi vitu fake haviingii ingekuwa hakuna hizi hasara au pombe fake zinaleta maadhara makubwa kwa afya lakini wala hamshughulikii mpo kimya kama haliwahusu.
mnataja vipodozi vyenye sumu vingi ila mmekaa tuu ja vimejaa madukani na vinauzwa online vinapita hapo hapo airport na bandarini na wala hamfanyi chochote.
PS: KAMA MNAVYOALIKA POLISI KWENYE UKAGUZI WENU MUALIKE NA TAKUKURU TUONE WELEDI WA KAZI YENU
Naomba mawaziri husika na Mh Rais (tafadhali muwatag account zao) aziangalie hizi taasisi kwa jicho la pili kwani wanaongamia ni uma wa watanzania hasa wenye vipato vya chini.