duh!!!!!Kwa nini unawajanjarusha na kuwapa siri hii? Ungewaacha tu.
Wamenaswa hao Mkuu. Maamuzi ya Mbowe yamewachanganya wengiSi ndiyo vizuri ife au unaionea huruma?
TBC na Star Times si ni mme na mke?!! Haya, niambie ving'amuzi vya Star Times ni shs ngapi kwa sasa?!Si ndiyo vizuri ife au unaionea huruma?
Vipi nauli waalimu mmefikia wapi? Mngelimaliza hilo kwanza ndio ufatilie mkutano wa ChademaKwani Mkutano wa CHADEMA jana ulirushwa live vile?
Mimi nipo huku Kibosho hata sijui bei zake.TBC na Star Times si ni mme na mke?!! Haya, niambie ving'amuzi vya Star Times ni shs ngapi kwa sasa?!
Parallel death?!!
Kwani Mkutano wa CHADEMA jana ulirushwa live vile?
Kivipi? Fafanua..Wamenaswa hao Mkuu. Maamuzi ya Mbowe yamewachanganya wengi
Hii ilishakufa, ilikuwa inapumulia mashine tu(live bunge). Sasa mashine imeisha ondolewa yanasubiriwa mazishi tu.Si ndiyo vizuri ife au unaionea huruma?
Balkia Wa Nguvu, na sisi wapika mandazi tufanyie mpango tupande dldl bureKwani Mkutano wa CHADEMA jana ulirushwa live vile?
Kitendo cha televisheni ya taifa TBC kusitisha kuonyesha live vikao vya bunge kumetoa mwanya mzuri kwa televisheni binafsi zenye kutumia ving'amuzi kujiimarisha.
Katika utafiti mdogo niliofanya nimegundua kwamba kwa kipindi kifupi cha vikao vya bunge lililopita ambao TBC haikurusha matangazo yake, kulikuwa na ongezeko kubwa la mauzo ya ving'amuzi vya Azam iliyokuwa inavionyesha live vikao hivyo.
Ninaamini kwa kujiondoa kuonyesha live vikao hivyo, TBC ambayo tayari ilikuwa imepoteza imani kwa watazamaji wake wengi kutokana na ubovu wa vipindi na kujipambanua kama yenye mwelekeo wa kiCCM zaidi kuliko utaifa itapoteza kabisa umaarufu na haitakuwa na watazamaji kama televisheni zaidi za binafsi zitautumia mwanya huo kuwa na ving'amuzi vyao vitakavyorusha live matangazo ya bunge.
Kwa sababu umaarufu wa TBC ulikuwa umebakia kwenye kuonyesha live vikao vya bunge, kuanzia vikao vijavyo vya bunge ijiandae kujizika rasmi yenyewe, hakuna atakayehangaika nayo tena.
Well said Mkuu, Analysis yako imeenda shuleKitendo cha televisheni ya taifa TBC kusitisha kuonyesha live vikao vya bunge kumetoa mwanya mzuri kwa televisheni binafsi zenye kutumia ving'amuzi kujiimarisha.