Hivi hii TV ya Taifa Ina Tatizo gani, yaani hawawezi kukaa hewani kwa hata dakika 30. Je ni mitambo imechoka au ni Mitambo ya kutoka china, ebu jirekebisheni mnatutia aibu sana Watanzania.
Nafikiri hiki ni kituo hafifu kuliko vituo vyote hapa nchini, yaani unaona Mtu anaongea Mara ghafla unaona kaachama mdomo na haufungi tena, acheni hizo nyie!