Umeona, nadhani kuna kitu kinaendeleaNimesikia kipindi hicho kuhusu hotuba Aliyotoa mei mosi 1981 tabora. Inafikirisha
Mara nyingi kipindi cha wosia wa baba cha TBC Taifa hupiga propaganda kuunga mkono kile kinachotekelezwa na serikali kwa wakati huo. Mfano kama serikali imekamata wala rushwa, itatafutwa hotuba ya Mwl akikemea rushwa ili kuaminisha umma kwamba hata enzi hizo Mwl alikemea.
Katika kipindi ambacho kimerushwa na TBC kwa siku kadhaa sasa Mwl anakemea mtu kujipa uwezo wa kufukuza kazi. "Utakuta kamtu kanamwambia mtu nimekufukuza kazi! unanifukuza kazi utalisha familia yangu?" anasikika akisema Mwl.
Katika clip nyingine Mwl Nyerere anasikika akisema "Sheria hii tuliifanya ngumu makusudi ili watu wasijigeuze wanyampala na kufukuza watu wanavyotaka" Mwl anasema watu walilalamika sana kwamba sheria hiyo inawafanya wawe na kiburi na kutofanya kazi. "Ndiyo, lakini kazi ni uhai hatuwezi kufukuza watu hovyo.
Hotuba hiyo aliitoa Mei Mosi 1981
Umesikiliza kipindi au unatunga uongo eti wanakaa vikao. Hovyo!Acheni kumchonganisha Mwalimu wangu Kipenzi na Poti wangu wa kutupwa Dr. Ayub Rioba na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hata huyo anayewatuma kumchonganisha anajulikana na hivyo vikao vyenu vinajulikana huwa mna kaa wapi! Hakuna kipindi ambacho TBC imepata DHAHABU kama sasa kwa kupewa MWELEDI wa KUTUKUKA wa tasnia hiyo. Hakika kipele kimempata mkunaji. Dr. Rioba piga kazi na waonyeshe kuwa Watu wa Mkoa wa Mara huwa ni WATENDAJI wazuri na ambao HATUSHURUTISWI au HATUPELEKESHWI kizembe kizembe Kama Wahaya, Waha, Wanyiramba, Wanyaturu na Warangi.
Umefikiri vizuri lakini tafakari zaidi ya hapkNyerere nae anamhujumu Magufuli?
Kwa hiyo hotuba za Nyerere zichujwe sio?
zisizo mpendeza Rais zisirushwe?
Umefikiri vizuri lakini tafakari zaidi ya hapk
Hiyo ni hoja, siyo wale wanaosema tunamchonganisha na nani sijuiTBC wana haki ya kumkosoa Magufuli
na kumkosoa sio kumhujumu...
Leo ndio mnaona TBC inahujumu kwa sababu inamuhujumu magufuli. mbona wakati inawahujumu wapimzani mlikuwa mnawatetea.Mara nyingi kipindi cha wosia wa baba cha TBC Taifa hupiga propaganda kuunga mkono kile kinachotekelezwa na serikali kwa wakati huo. Mfano kama serikali imekamata wala rushwa, itatafutwa hotuba ya Mwl akikemea rushwa ili kuaminisha umma kwamba hata enzi hizo Mwl alikemea.
Katika kipindi ambacho kimerushwa na TBC kwa siku kadhaa sasa Mwl anakemea mtu kujipa uwezo wa kufukuza kazi. "Utakuta kamtu kanamwambia mtu nimekufukuza kazi! unanifukuza kazi utalisha familia yangu?" anasikika akisema Mwl.
Katika clip nyingine Mwl Nyerere anasikika akisema "Sheria hii tuliifanya ngumu makusudi ili watu wasijigeuze wanyampala na kufukuza watu wanavyotaka" Mwl anasema watu walilalamika sana kwamba sheria hiyo inawafanya wawe na kiburi na kutofanya kazi. "Ndiyo, lakini kazi ni uhai hatuwezi kufukuza watu hovyo.
Hotuba hiyo aliitoa Mei Mosi 1981
Kila jambo linawakati wake. Nyerere aliyazungumza hayo kwa wakati wake ambapo wafanyakazi wa Umma walikuwa na nidhamu ya hali ya juu tofauti na sasa.Mara nyingi kipindi cha wosia wa baba cha TBC Taifa hupiga propaganda kuunga mkono kile kinachotekelezwa na serikali kwa wakati huo. Mfano kama serikali imekamata wala rushwa, itatafutwa hotuba ya Mwl akikemea rushwa ili kuaminisha umma kwamba hata enzi hizo Mwl alikemea.
Katika kipindi ambacho kimerushwa na TBC kwa siku kadhaa sasa Mwl anakemea mtu kujipa uwezo wa kufukuza kazi. "Utakuta kamtu kanamwambia mtu nimekufukuza kazi! unanifukuza kazi utalisha familia yangu?" anasikika akisema Mwl.
Katika clip nyingine Mwl Nyerere anasikika akisema "Sheria hii tuliifanya ngumu makusudi ili watu wasijigeuze wanyampala na kufukuza watu wanavyotaka" Mwl anasema watu walilalamika sana kwamba sheria hiyo inawafanya wawe na kiburi na kutofanya kazi. "Ndiyo, lakini kazi ni uhai hatuwezi kufukuza watu hovyo.
Hotuba hiyo aliitoa Mei Mosi 1981
Kumbe ilikuwa inawahujumu? wachawi hawachelewi kutuonyesha rangi zaoLeo ndio mnaona TBC inahujumu kwa sababu inamuhujumu magufuli. mbona wakati inawahujumu wapimzani mlikuwa mnawatetea.
ccm imezoea kusifiwa ata kwa mabaya ligeuzwe liwe zuri. wakati wa kikwete alisifiwa sana na alipokuja huyu mwingine mmeanza kumkosoa kikwete mtadhani wakati uliopita hawakuona au walikuwa kipofu. Ni kweli kuwa ccm inahitaji digrii ya ujinga na upumbavu.Kumbe ilikuwa inawahujumu? wachawi hawachelewi kutuonyesha rangi zao
tatizo ccm wameshazoe kusifiwa tu. ukiwapinga basi wewe ni adui yao mkubwa.TBC wana haki ya kumkosoa Magufuli
na kumkosoa sio kumhujumu...