Seki kapotelea wapiHapa ilikuwa hata kabla ya kugunduliwa Whatsapp, Instagram, majalida haya yalichukua umaarufu mkubwa sana Tanzania na Kenya.
Utandawaza unakuja kwa kasi sana siku hizi ni Tiktok na blogs za umbea tu.
View attachment 3309756View attachment 3309759View attachment 3309765
Yap,Kweli uzee upo hapo professor jay km mwanafunzi wa shule sura yake
Mno yale ukisoma unakua makini mda woteYalikuwa na faida kubwa, si unaona unavyo jilinda na UKIMWI
Haya majarida yalikuwa yakisaidia sana kutoa elimu ya mahusiano kwa vijana, pia kulikuwa na jarida jingine likiitwa 'Si Mchezo'.Hapa ilikuwa hata kabla ya kugunduliwa Whatsapp, Instagram, majalida haya yalichukua umaarufu mkubwa sana Tanzania na Kenya.
Utandawaza unakuja kwa kasi sana siku hizi ni Tiktok na blogs za umbea tu.
View attachment 3309756View attachment 3309759View attachment 3309765
Haswa zile stori pichaMimi zilikuwa zinanivutia zile story za mule,,
Hata Mimi nilitaka kuuliza,huyu jamaa alikuwa maarufu na anafanya mambo makubwa kwenye utangazaji nk ila sikuhizi hasikiki kabisaSeki kapotelea wapi
Yeah, na hili ndilo nililikusudia kulitaja kwenye comment iliyopita lilikuwa lina lyrics za mizikiHaya majarida yalikuwa yakisaidia sana kutoa elimu ya mahusiano kwa vijana, pia kulikuwa na jarida jingine likiitwa 'Si Mchezo'.