TAWA wafafanua kuhusu habari ya Tembo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
3,732
13,485
Mamlaka ya ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania(TAWA) wafafanua kuhusu ongezeko la Tembo baada ya kunukuliwa vibaya. Ongezeko la Tembo halihatarishi maisha ya Watu na Mali. Uwindaji hufanywa kwa mjibu wa Sheria na Sera ya Wanyamapori ya 2007.

Zaidi, soma:

IMG-20220913-WA0016.jpg
IMG-20220913-WA0017.jpg
 
Hili tangazo la kutaka kuwinda Tembo wetu kwanini linatolewa sasa na si kipindi cha Mwendazake ?.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Viazi kweli hawa! Eti "baada ya kunukuliwa vibaya".

Yamepewa dhamana ya kulinda wanyama alafu yanaanza kutokwa na udenda wa ujangili
 
Back
Top Bottom