Pfizer
JF-Expert Member
- Mar 25, 2021
- 509
- 732
Imeelezwa kuwa ongezeko la Wanyamapori Nchini limekuwa chachu ya kuwa na ongezeko la ushawishi wa ujangiri, uvamizi wa maeneo ya Wananchi ambapo humesababisha uhasama kati ya mamlaka za Serikali na Wananchi.
Kaimu Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wananyamapori Tanzania (TAWA), Mabula Misungwi Nyanda ameyasema hayo Mkoani Dar Es Salaam 10 Septemba 2022 alipokuwa aliongea na Wanahabari kwenye hifadhi ya pori la akiba la Pande (Pande game reserve)
Amesema ongezeko hilo la Wanyama hasa Tembo limekuwa na madhara na inapotokea kunatakiwa kufanyika uwindaji kumekuwa na vikwazo kutoka kwa watetezi wa Haki za Wanyama ambao hawataki Tembo Wavunwe kwa Manufaa ya Nchi.
Kamishna Nyanda anasema: “Idadi ya Wanyama inaongezeka lakini ardhi haiongezeki, Tanzania tunatakiwa kuonesha tunapata faida kutokana na Wanyama tulionao.
“Hata kisayansi inaeleza kuwa kuna hatua inafika inabidi Wanyama wapunguzwe, wasipopunguzwa matokeo yake ndio kama hivyo tunasikia wanavamia makazi ya watu na kufanya uharibifu na wakati mwingine kuua watu.
“Ndio maana tuna kanuni kuwa lazima ifike hatua Wanyama lazima wawindwe na wauliwe kwa faida ya Nchi.
“Mfano Tembo kwa sasa wamekuwa wakihusika katika matukio mengi ya mauaji na uharibifu wa mali, kama hakutakuwa na kitu cha ziada kuokoa hali hii hali inaweza kuzidi kuwa mbaya.
“Tunashauri Serikali iruhusu uwindaji halali wa Tembo kwa maelekezo maalum, ambayo ni kuwinda Tembo wazee na madume hadi itakapobaki idadi fulani ambayo inakuwa haina madhara kwa kiasi kikubwa.
“Inapotokea uwindaji wa aina hiyo kisha pembe za ndovu zikauzwa, Nchi inapata faida, hiyo ni nzuri badala ya kusikiliza NGO ambazo nyingine kwao hazina hata mbuga lakini zinakuwa Hodari katika kusimamia Wanyama kutopunguzwa wakati madhara tunapata sisi. Kama nchi tunao uwezo wa kuangalia Sheria na kanuni zetu, hizi pembe za ndovu zikiuzwa zinaweza nufaisha nchi kwani ni Maliasili yetu.
“Hata kama mamlaka haitatoa ruhusa hiyo, kumbuka kuwa kadiri Tembo wanavyosababisha madhara kwa wananchi ndivyo ambavyo nao (Tembo) wanakuwa hatarini kuuawa kinyume cha sheria na haohao Wananchi.” Pia inaongeza uhasama kati ya Serikali na Wananchi wake.
=====
MY TAKE
Six African Nations Agreed to Push for Restarting Ivory Trade
31 May 2022
With the elephant population growing out of control in parts of southern Africa, several countries in the region agreed at a conference to support Zimbabwe’s push for the legalization of the international ivory trade.
Last week’s conference, organized by Zimparks, Zimbabwe’s wildlife management authority, was attended by representatives of Botswana, Namibia, South Africa, Tanzania and Zambia.
=====
UPDATES; 13 SEPTEMBER 2022
=====
TAARIFA HII IMETOLEWA UFAFANUZI.
Zaidi, soma;
TAWA wafafanua: Ongezeko la Tembo halihatarishi maisha ya Watu na Mali. Uwindaji hufanywa kwa mjibu wa Sheria na Sera ya Wanyamapori ya 2007'

www.occrp.org

TAWA wafafanua: Ongezeko la Tembo halihatarishi maisha ya Watu na Mali. Uwindaji hufanywa kwa mjibu wa Sheria na Sera ya Wanyamapori ya 2007
TAWA wafafanua: Ongezeko la Tembo halihatarishi maisha ya Watu na Mali. Uwindaji hufanywa kwa mjibu wa Sheria na Sera ya Wanyamapori ya 2007. Zaidi, soma...
www.jamiiforums.com