Tatoo yenye jina la hawara

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
384
Inakuwaje unapokuta mkeo ana tatoo yenye jina la hawara yake wa zamani ambayo umeigundua baada ya kumwoa?

Kazi kwenu kudadavua
 
Siwezi kuchora tatoo mwilini hata kwa kulipwa, sipendi tatoo, zaidi sana sipendi urembo wa kishamba, piga chini
 
Mmmmmh najaribu kuimagine kama ningemkuta hubby na hiyo kitu me sielewi ila angeifuta tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…