KERO Tatizo sugu la umeme Kigamboni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kumekuwa na Tatizo sugu la kukatika umeme Kigamboni. Nafikiri sekta binafsi inaweza kuliendesha vizuri na kwa uweledi Mzuri hili shirika kuliko hizi adha tunazozipata hivi sasa chini ya Serikali.
Nashindwa elewa wanakigamboni nini wamekosa maana kuanzia barabara , kivuko na sasa umeme. Hivi nini tatizo ? Inasikitisha sana kukosa huduma hizi umeme, kivuko na barabara. Inaumiza sana.
 
Back
Top Bottom