Sahihi Nini tiba ya hili jambo?Biashara ni kitu kigumu sana kufanya kuna risk nyingi sana kwenye biashara, sometimes unaweza kuanza na mtaji unaona unaweza kukufikisha mahali baada ya muda kidogo unashangaa umeshakata
Mimi nilifeli vibaya lakini nilitoka na fundisho moja kuwa kufanya biashara sahihi, wakati sahihi na mahali sahihi.Sahihi Nini tiba ya hili jambo?
Sahihi mkuu mchawi mkubwa wa biashara yoyote duniani ni location ingawa matumizi sahihi ya social media yanaweza kuexpand zaiidi soko la biashara yakoMimi nilifeli vibaya lakini nilitoka na fundisho moja kuwa kufanya biashara sahihi, wakati sahihi na mahali sahihi.
Hapo utapata mzunguko ndio maana halisi ya biashara ukikosea hapo hata ukijaza duka na mtaji wa milion 100 kama hakuna wateja imeisha hiyo