Wadau,
Nimekua nikitumia internet ya halotel kwa cim yangu then naconnect kwa laptop kwa teethering ila kuna connection time out ya mara kwa mara upande wa laptop, ndani ya dk 5 inaweza tokea hata 2 times ila uki reconnect inakubali kirahisi sana unaendelea kuna mwingine anaye experienced hili jambo? possible solution?