Tatizo la Kofia Mbili, Mwenyekiti Chama na Rais wa JMT ndio Lipo Hapa.

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
40,262
72,624
Mwishoe ni kuonekana Mtu anayeropoka kumbe Kichama anaongea kutafuta support na huku serikalini anaongea majibu ya kupangiwa na wataalamu.
Sasa uongo uko upande upi? Nadhani hiki kitu kiachwe na vyeo hivyo vitengwe sio CCM tuu bali hata vyama vingine vikiingia madarakani
20240727_162638.jpg
20240727_162629.jpg
 
Mwishoe ni kuonekana Mtu anayeropoka kumbe Kichama anaongea kutafuta support na huku serikalini anaongea majibu ya kupangiwa na wataalamu.
Sasa uongo uko upande upi? Nadhani hiki kitu kiachwe na vyeo hivyo vitengwe sio CCM tuu bali hata vyama vingine vikiingia madarakani
View attachment 3053822View attachment 3053823
Hii kitu kikatiba inatakiwa itenganishwe, kuna wakati unaona kabisa kiongozi hajui kama ana hutubia chama au taifa, kuwe na sheria tu ukiwa mkuu wa nchi ukuu wa chama pembeni
 
Unaijua Nchi ya Vietnam?
Wamemuua Katibu mkuu wa chama Majuzi na kumpa Rais wao aikaimu hiyo nafasi, kwa sababu licha ya kuwa na Rais ila kwenye nchi ya Kijamaa Kiongozi mkuu wa Chama ndio mkuu wa Nchi(De facto) na Majeshi (Majeshi huwa ni ya Chama).

Logic ya Rais kuwa mkuu wa Chama ni kumpa nguvu na uhuru wa kutekeleza kazi yake, Imagine Kungekuwa kuna mwenyekiti na Rais tofatuti akina Nape wangekuwa na nguvu kiasi gani?
 
Huoni hiyo ni sawa na kubet, mpe mtu mmoja all the powers then hope hato abuse hayo mamlaka? huoni itapelekea state capture? When kiongoz hajui when anatoa orders kwa chama au kwa nchi?
 
Hayo mambo yalikuwa ya enzi ya chama kimoja na hawataki kuelewa.
Nakumbuka wakati wa vita 1979 wanajeshi walikuwa wana mtii mwenyekiti wa CCM Mwl Nyerere na fikra zao hazikuwa kwa Rais Nyerere wa Tanzania ndio maana kulikuwa na slogan ya CCM OYEE kule frontline
 
Hii kitu kikatiba inatakiwa itenganishwe, kuna wakati unaona kabisa kiongozi hajui kama ana hutubia chama au taifa, kuwe na sheria tu ukiwa mkuu wa nchi ukuu wa chama pembeni
Ccm nguvu yake iko serikalini.......kimantiki ccm bila dola ni sawa na TADEA au UDP
 
Ridhiwani kaambiwa akahakikishe Vijana WANAPATA Ajira hajaambiwa AKATENGENEZE Ajira

Kuwapatia na Kutengeneza ni Vitu viwili tofauti bwashee 😄
 
Hii kitu kikatiba inatakiwa itenganishwe, kuna wakati unaona kabisa kiongozi hajui kama ana hutubia chama au taifa, kuwe na sheria tu ukiwa mkuu wa nchi ukuu wa chama pembeni
Kabisa, ndio maana hata shughuli za kichama zinatumia rasilimali za Umma kitu ambacho sio sahihi.
 
Huoni hiyo ni sawa na kubet, mpe mtu mmoja all the powers then hope hato abuse hayo mamlaka? huoni itapelekea state capture? When kiongoz hajui when anatoa orders kwa chama au kwa nchi?
we need miaka 100 tukiwa na katiba mpya kuunda mifumo kama Uingereza na Marekani
 
Back
Top Bottom