Tatizo la kiuno kukaza na maumivu ya mgongo

teachers

New Member
Jul 14, 2024
3
0
Habari wadau nina tatizo unaenda mwaka sasa linanisumbua huu upande wa kulia kuna mabadaliko yani tatizo huwa linanianza ikifika mida ya jioni naanza kusikia maumivu upande kiuno kukaza mpaka maumivu ya mgongo.

Sasa nilijaribu kwenda hospitali niliambiwa nina shida ya mawe kwenye figo ya kulia nikapewa dawa moja inaitwa CITAL DISODIUM CITRATE LIQUID niitumie kwa siku5 lakini baada ya hapo shida imeendlea vilevile nikakutana na daktari mwingine akanishauri kwamba nitumie APPLE CIDER VINEGAR nayo inasaidia kwa tiba za nyumbani lakini mpaka sasa nimetumia one week lakini sioni mabadiliko

NAOMBA MWENYE AMEWAHI KUTANA NA CHANGAMOTO KAMA HII ANIAMBIE ALITATUAJE
 
Back
Top Bottom