pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,703
- 13,471
Baada ya Feisal Salum kuzungumza leo kupitia clouds fm mambo mbali mbali aliyopitia yanga na maisha yake ya soka kwa ujumla ila bado kuna vitu vinafikirisha sana kwa yale aliyoyasema dhidi ya yanga tupate tafakuri kidogo ya mambo hayo:‐
Feisal alikuwa mchezaji wa Yanga toka kipindi wanapitisha bakuli iweje ghafla tu kijana alazimishe kuvunja mkataba tena kipindi cha neema.
Mudathir Yahya na sureboy waliomba kuondoka AZAM fc kwenda Yanga na wakaruhusiwa kuondoka bila migogoro tatizo la Feisal liko wapi.
Manara alipokuwa Simba ilivuja clip analia akidai anateswa na aliyekuwa CEO wa Simba mwanadada Barbra Gonzalez na malipo kiduchu ya mshahara kama house girl manara akatoka Simba akaenda Yanga kwasababu ya maslahi yake binafsi na ugomvi binafsi sasa feisal akisema ana tatizo na engineer na sio yanga tatizo liko wapi.
Feisal anadai hajui lugha ya malkia na amesaini kitu asichokijua labda kutokana na pressure au ahadi alizoahidiwa ahadi hazijatimia kaamua kuondoka tatizo liko wapi.
Feisal alirudisha pesa anazotakiwa kurudisha ikiwa atavunja mkataba na yanga kama ilivyokuwa kwenye kipengele chake alifanya hivyo ili aondoke tatizo liko wapi.
Kama feisal alivumilia kipindi cha zahera na team ilikuwa na hali mbaya kwa nini yanga wanashindwa kumpa thamani yake na kumuheshimu kama tatizo ni hela kwa nini hakuondoka kipindi cha bakuli akaenda lunyasi ila kwa mapenzi yake akaaamua kubaki jangwani tatizo la feisal liko wapi.
Kama yanga wanadai feisal ni mdogo kuliko yanga na ni kweli sasa kwa nini mnang'ang'ania abaki jangwani wakati kipengele cha ku terminate mkataba kipo feisal sio wa kwanza kuvunja mkataba kwa club na haitakuwa mwisho kumbukeni uhuni mliofanya kwa yondani marehemu sonso na lamine pamoja na saidoo na lucy aymel na walikuwa na mkataba bado ila mlifanya uhuni sasa nini kinashindikana kwa feisal.
NB:Kama mashabiki wa yanga wanaamini haji manara ni yanga damu licha ya kuwatukana na kuwaita majina ya kejeli kibao basi ni ngumu pia kuamini aliyoyasema feisal
Kama Morrison alishinda CAS kwa nini feisal asijaribu bahati yake kumbuka yanga hawajawahi kushinda kesi yoyote hata iwe ya kuku wakiongozwa na mwanasheria wao.
Simon Patrick aliwaingiza yanga chaka wakaenda CAS wakaangukia pua na hapa kawaingiza chaka kwa feisal wanaenda kuoga mvua na fine kam kawaida yao.