Wakuu habari,
Kuna nyumba yetu ya urithi ipo Mbeya. Nilikuwa nahitaji kujua ni nani anaetathmini thamani ya nyumba? Na gharama zao zikoje?
Na vilevile ni hatua gani nifuate kuepuka kutapeliwa?

Tathmini ya nyumba inafanywa inafanywa na wathamini wa manispaa au wathamini binafsi kutokana na dhumuni la uthamini huo.
Hivyo ungesema sababu(purpose) of valuation ningekwambia wapi ni sahihi kwako na pia mwanga wa gharama zake.
Otherwise ni pm

Aaanhaaa, hiyo inaitwa market value purpose.
Unaweza kwenda manispaa sema wao hawana authority ya kufanya market value
Japokuwa mthamini wa manispaa anaweza kuifanya hiyo as kwenye private company wanakuwa na bei kidogo