Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,671
- 239,178
Hii ndio Taarifa mpya kutoka kwenye kikosi kazi cha Uongozi mpya wa Kanda ya Nyasa, baada ya muendelezo wa Tathmini ya muda mrefu ya Chama hicho.
Chadema imesambaza kikosi kazi cha kuchambua mambo haya kupitia Chadema Digital kwa muda mrefu, Hii ndio sababu ya Freeman Mbowe kutangaza Chadema kushinda Majimbo yote Mkoa wa Kilimanjaro, hajakurupuka, NAMBA HAZIDANGANYI.
Labda kwa faida ya Wanaccm na mamluki wengine ni kwamba, kwenye Kanda ya Nyasa, Pamoja na Chadema kujihakikishia ushindi kwenye Majimbo 20 bado inaendelea kupigania hayo 11 yaliyobakia kwa kujikita kuelimisha Wananchi hasa huko Ludewa, ambako bado watu wanaamini CCM ni dini na kwamba ukiikataa utachomwa na Mungu siku ya kiama, Timu yetu iko kazini kufuta maneno hayo ya Laana kwa wananchi, ni timu iliyojaa vijana wasomi wakiwemo wataalam wa Saikolojia, imeratibiwa kisasa sana na Liberatus Mwang'ombe, MwanaChadema mtiifu anayefanya shughuli zake Nchini Marekani.
Vijana walio kwenye hicho kikosi kazi wanalipwa Hela nzuri kuliko wanazolipwa Walimu wa Tanzania
Safari hii hatutanii na hatutaki mchezo, Na kwa kweli ikiwa watawala wa Tanzania watajaribu kulazimisha ushindi wa Magalasa yao wanaweza kuifikisha nchi hii mahali pa kutisha na kusababisha machafuko yasiyozimika (HAKI HUINUA TAIFA) ndio maana Chadema inaendelea kupambana Ndani na nje ya nchi, kwenye Taasisi zote za kimataifa kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki (jambo linaloendelea vizuri)
Nawapa tu moyo wanaccm kwamba, CCM itang'olewa madarakani lakini hatutalipa kisasi na nchi itaendelea kusonga mbele, Wawe watulivu na wavumilivu kama sisi tulivyovumilia pamoja na unyama wote tuliotendewa.
MAENDELEO HAYANA CHAMA