ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 8,573
- 19,877
Mechi ilikuwa nzuri
Wachezaji wa Yanga wameonyesha ukomavu na uvumilivu hadi nafasi za kufunga zikapatikana
Wachezaji wetu hawana fitness nzuri sana.
Nadhani labda uchovu kushinda ubingwa mara 3 siochezo, hii inasabisha mechi kukosa kasi tuliyozoea
Duke Abuya ni Mchezaji mzuri mno, ametimiza majukumu yake Kwa usahihi.
Azizi ki anahitaji mechi zisizo na pressure ili kurudisha confidence yake, ila Bado yuko poa
Kennedy Musonda amecheza vizuri hapa anadai mkataba mpya, Coach amwamini Musonda ili kumpunguzia Dube pressure ya kuwa striker namba 1
Kibabage amegoma kubadilika, amecheza vibaya sana,
Sio mzuri kwenye kukaba wala kushambulia,
Eng Hersi dirisha dogo ingia sokoni tuletee beki mzawa wa kushoto
Chama fundi huyu sisemi sana, hapaswi kukaa bench anataka mkataba zaidi ya kubakia Yanga
Max, Muda, Dube, Mwamnyeto, Komen, Yao kiwango kizuri mmeonyesha kama kawaida na ndo yalikuwa matarajio yangu
Timu kubwa imechezwa kikubwa, magoli hayana mbambamba kama wale wengine wanaoshiriki mashindano ya akina mama
Yanga bingwa 🏆