ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 65,819
- 75,110
Oparesheni iliyofanywa na Mamlaka ya kumdhibiti na kupambana na Madawa ya kulevya kwenye blonde la mtoa mara imebaini uwepo mashamba na viwanda vya kuchakata bangi.
Kilimo Cha ganginkinachofanywa Kwa njia ya umwagiliaji kimeshamiri kiasi kwamba Mamlaka imelazimika kutekeleza mashamba ya bangi ekari 807 ,magunia na viwanda vya kuchakata na kufanya packaging tayari Kwa kuuzwa ndani na Nje ya Nchi.
View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1711341273137754470?t=_vx9Cns7pVz5yXL2OjTp7w&s=19
Aidha Tanzania ni Kati ya Nchi 10 Afrika Ambazo zinaongoza Kwa Matumizi ya Bangi hivyo hakuna sababu za msingi za Serikali kuendelea kukaza wakati imeshindwa Kuzuia matumizi yake.Ni muda muafaka bangi ihalalishwe.
Swali.
Serikali inapata kigugumizi gani Kuruhusu Kilimo Cha bangi na miraa(mirungi) kibiashara? Mbona Nchi zingine zinaruhusu?
Wekeni masharti na viwango vya ukaguzi watu tuombe reseni za kulima kibiashara Kwa Ajili ya kuuza Nje ya Nchi.
View: https://www.instagram.com/reel/CyLjJw3qzlf/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==