Watu kadhaa wakiwemo wagonjwa waliokuwa wamelazwa katika kituo cha afya cha Nyamongo wilayani Tarime mkoani Mara wamejeruhiwa vibaya kwa kupigwa risasi za moto wakati askari wa jeshi la polisi wakipambana na baadhi ya wakazi wa mji huo walikuwa wakiwazuia polisi kuchukua mwili wa kijana mmoja anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na askari wa jeshi la polisi.
Tukio hilo ambalo limesababisha wagonjwa watatu ambao wamelazwa katika kituo hicho cha afya maarufu kama hospitali ya Sungusungu kujeruhiwa vibaya kwa kipigwa risasi, imeelezwa na baadhi ya viongozi wa vijiji katika eneo hilo kuwa askari polisi walianza kurusha risasi baada ya kutofautiana na familia katika kuchukua mwili wa kijana huyo Jackison Mwita.
Kwa upande wake mbunge wa jimbo la Tarime vijijini Mh John Heche ambaye ametembelea mji wa Nyamongo kufuatia tukio hilo, ameonesha kusikitishwa kwa askari polisi hao kuua wananchi kwa risasi kisha kusababisha vurugu hizo ambazo pia zimesababisha uharibifu mkubwa katika kituo hicho cha afya.
Naye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Bw Gloriuos Luoga ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Tarime amesema baada serikali kupokea taarifa rasmi ya uchunguzi wa jopo la madaktari, serikali itaunda tume ili kujua kiini cha tukio hilo.
Chanzo: ITV
sisem uongo kama huamin njoo uhoji wananchi. wananchi wanaenda wanapomwaga mawe ambayo hayapelekw kiwandan bali kurundikwa sehem ya mbali na shughuli sasa kwann wapigwe risasi wakat wazungu hawayahitaji.Taarifa yako nashindwa kuiamini, huko hakuna serikali? hakuna sheria?...eneo hilo halijazuwiwa wananchi kuingia? Polisi wanawafuata raia mtaani, just thinking....
*Maharifa - Maarifa.Musoma kuna taarifa nzuri nyingi sana ambazo huwezi kuta hata siku moja zinaletwa na kwenye vyombo vya habari vingine kwa nini mnapenda kuleta Mahabari ya ovyo ovyo tu.....tumieni maharifa
Musoma kuna taarifa nzuri nyingi sana ambazo huwezi kuta hata siku moja zinaletwa humu kwenye mitandao ya kijamii ama kwenye vyombo vya habari vingine kwa nini mnapenda kuleta Mahabari ya ovyo ovyo tu.....tumieni maharifa
Tatigha obhukangi bhuyo mbane.....*Maharifa - Maarifa.
Mkuu hizi ni propaganda chafu sana za kuuchafua mkoa.Musoma kuna taarifa nzuri nyingi sana ambazo huwezi kuta hata siku moja zinaletwa humu kwenye mitandao ya kijamii ama kwenye vyombo vya habari vingine kwa nini mnapenda kuleta Mahabari ya ovyo ovyo tu.....tumieni maharifa
Waliojeruhiwa ni mbuzi?you are extremely fool dad...Musoma kuna taarifa nzuri nyingi sana ambazo huwezi kuta hata siku moja zinaletwa humu kwenye mitandao ya kijamii ama kwenye vyombo vya habari vingine kwa nini mnapenda kuleta Mahabari ya ovyo ovyo tu.....tumieni maharifa
Mtani unaniandikia kikurya unanitusi? Kama matusi ''MWENYEWE''Tatigha obhukangi bhuyo mbane.....
Tatigha obhukangi bhuyo mbane.....
Tatigha obhukangi bhuyo mbane.....
Wakurya ni shida! Hawakubaligi kutii sheria kirahisi. Poleni polisi wetu kwa kazi ngumu.Watu kadhaa wakiwemo wagonjwa waliokuwa wamelazwa katika kituo cha afya cha Nyamongo wilayani Tarime mkoani Mara wamejeruhiwa vibaya kwa kupigwa risasi za moto wakati askari wa jeshi la polisi wakipambana na baadhi ya wakazi wa mji huo walikuwa wakiwazuia polisi kuchukua mwili wa kijana mmoja anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na askari wa jeshi la polisi.
Tukio hilo ambalo limesababisha wagonjwa watatu ambao wamelazwa katika kituo hicho cha afya maarufu kama hospitali ya Sungusungu kujeruhiwa vibaya kwa kipigwa risasi, imeelezwa na baadhi ya viongozi wa vijiji katika eneo hilo kuwa askari polisi walianza kurusha risasi baada ya kutofautiana na familia katika kuchukua mwili wa kijana huyo Jackison Mwita.
Kwa upande wake mbunge wa jimbo la Tarime vijijini Mh John Heche ambaye ametembelea mji wa Nyamongo kufuatia tukio hilo, ameonesha kusikitishwa kwa askari polisi hao kuua wananchi kwa risasi kisha kusababisha vurugu hizo ambazo pia zimesababisha uharibifu mkubwa katika kituo hicho cha afya.
Naye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Bw Gloriuos Luoga ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Tarime amesema baada serikali kupokea taarifa rasmi ya uchunguzi wa jopo la madaktari, serikali itaunda tume ili kujua kiini cha tukio hilo.
Chanzo: ITV
Murisya ono Bhamura!Tatigha obhukangi bhuyo mbane.....
ha ha haBhono kweli nobhokangi tata hahaha
ha ha ha haMurisya ono Bhamura!