Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,537
- 30,772
Tunajua akili za TAHOSSA zinakuwa kama zimewaruka, mwezi huu wakuu WA shule wa msingi na sekondary watakwenda dodoma wana ajenda zao zilezile hawana jipya Ila ninawapa tu tahadhari Waache kutumika na mbogamboga
Watumie hiyo siku kuleta mapinduzi ya kiuchumi kwa walimu, wajenge hoja kuendana na matatizo yanayowakabili walimu ambayo ni haya hapa chini
👉🏽 Walimu hawana nyumba za kuishi. Wanaishi kwenye mabanda, miradi yote ya ujenzi inakuwa ya madarasa tuu. Walim wanaishi kwenye mapagare kama mabanda ya nguruwe
👉🏽 Walimu wana mishahara midogo sana. Inadhalilisha utu wao maana kwa Dunia ya Sasa ya fingerprint Kila ukigeuka ni pesa mda wote pesa inahitajika. Mshahara wa laki nne inatia aibu na kuvua utu wao
👉🏽 Walimu wanataka posho za kufundisha. Teaching /standing allowance ni muhimu kwa Sasa, ukizingatia kuwa saizi wanafanya kazi kwenye mfumo /computer inahitaji vocha kuingia.
Walimu hawataki kutumika kwenye chaguzi zenu za kisiasa, wanataka kupiga kura tu basi. Hawataki lawama, hizo kazi wapeni jobless, mnawafanya waonekane cheap ili muwatumie kuiba kura kwakua wakikataa mnawatisha kuwafukuzisha kazi
Ni hayo tu niliyopewa kuwasilisha kutoka kwa rafiki angu ambae ni mwalimu