Hepatis B
Senior Member
- Feb 11, 2013
- 193
- 155
Habari za mda huu!
Samahani naomba kujua taratibu zipi natakiwa kufuata kama nineuziwa bidhaa iliyokwisha muda wake.
Nilimtuma mdada wa kazi blue band asubuhi nikaondoka kabla hajarudi. Nimerudi nimekuta kawapa watoto blue band iliyoexpiry toka dukani. Naomba kujua taratibu gani natakiwa nifuate kukomesha vitendo hivi wanavyofanya hawa wafanya biashara.