Kwa kuwa aliisha jiondoa CHADEMA tangu july 2015, hivyo kutumia neno aliyekuwa Mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA sio mahala pake ni vema mkaandika aliyekuwa mwanachama wa CCM na msiihusishe CHADEMA kwani hadi mauti yanamkuta huyu alikuwa CCM.aliyekuwa mbunge wa viti maalumu kupitia chadema mama leticia nyerere is no mere
R.I.P Leticia NyerereView attachment 316118
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Leticia Nyerere amefariki dunia katika hospitali ya Doctors Community iliyopo Lan ham, Maryland jana saa mbili usiku kwa saa za Afrika Mashariki..
Msiba upo DMV 9004 Brightlea Court, Lanham, MD 20706.
Leticia aliolewa kisha kutengana na mtoto wa Hayati Baba wa Taifa, Madaraka Nyerere mwaka 1996, ambapo walifanikiwa kupata watoto watatu.
Leticia alikuwa mtoto wa Mzee Musobi Mageni.
Julai 27 2015, Leticia alitangaza kuihama CHADEMA na kurejea Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mungu ailaze roho ua Marehemu mahali pema peponi,
Amina.
Shetani kaziniNjia ya kweli IPI wewe??? Mar3hemu adhabu yake ni motoni kwa kurudi ccm