Tanzania Yaunga Mkono Pendekezo la China la Uhifadhi Utunzaji wa Mikoko

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
2,807
1,293

TANZANIA YAUNGA MKONO PENDEKEZO LA CHINA 🇨🇳 LA UHIFADHI NA UTUNZAJI WA MIKOKO

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Muungano na Mazingira(MB) Muheshmiwa KHAMIS HAMZA CHILO Amesema Tanzania inaunga Mkono Wazo na Azimio la CHINA la Uhifadhi na Usiamizi wa Mikoko kama njia bora ya Utunzaji na Uhifadhi wa Mazingira na Utunzaji wa Rasilimali za Bahari

Muheshmiwa KHAMIS HAMZA CHILO ameyasema hayo wakati akiwasilisha Salamu za Tanzania(STATEMENT) kwenye Mkutano wa HIGH LEVEL FORUM ON MANGROVE CONSERVATION uliofanyika kwenye Jimbo la SHENZHEN nchini China 🇨🇳

Muheshmiwa KHAMIS HAMZA CHILO amesema Tanzania Tunaunga Mkono Azimio na Pendekezo la China Kwenye Ajenda ya Uhifadhi na Utunzaji wa Mikoko na Rasilimali za Bahari(Mangrove Conservation)

Kwenye Mkutano huo Muheshmiwa Naibu Waziri KHAMIS HAMZA CHILO alisema kua *Serikali ya Tanzania Chini ya Uongozi Makini na Imara wa Mama Samia Suluhu Hasaan imechukua Juhudi na hatua mbali mbali katika Kutunza na Kuhifadhi Mazingira ya Bahari ikiwemo Uhifadhi Mikoko miongoni mwa Hatua na Juhudi hizo ni pamoja na
Kuanzishwa kwa Sheria ya Mazingira Sura namba 119, Kuanzishwa kwa Sheria ya Uhifadhi wa Mazao na Mazingira ya Bahari, Kuanzishwa kw Sheria ya Misitu na Kuwepo kwa Muongozo na Kanuni za biashara ya Hewa Ukaa (Carbon Trade Regulations) ambazo zote hizo zimeanzishwa kwa lengo la Kuhifadhi Mazingira ya Mikoko na Uhifadhi wa Mazingira kwa Ujumla Nchini

Pamoja na Uwepo wa Sheria hizo Muheshmiwa KHAMIS HAMZA CHILO amesema kua Tanzania tunaendelea na juhudi ya Utoaji wa Elimu na Uwelewa kwa Jamii (Socila Building Capacity) Juu ya Umuhimu wa Kutunza na Kuhifadhi Mikoko kwani ni Rasilimali inayotoweka kwa Nguvu ...

Aidha Muheshmiwa KHAMIS HAMZA CHILO kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania akashauri kua Nchi wanachama waendelee kuilinda Mikoko pamoja na Kuipanda kwa Wingi kwani ina faida Nyingi kwa Jamii na Utunzaji wa Mazingira na Kupunguza Atahari za Mabadiliko ya Tabia Nchi

Muheshmiwa KHAMIS HAMZA CHILO alisema kua Tanzania Kupitia Ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2020- 2025 Imeelekeza Kila Halmashauri kila Mwaka ipande miti Miliom Moja laki tano(1.5) ikiwemo mikoko kwa Lengo la Kutunza na Kuhifadhi Mazingira na Kukabiliana na Atahari kubwa ya Mabadiliko ya Tabia Nchi

Awali alizitaja Sababu za kukatwa na kuathiriwa kwa Mikoko hiyo ni Pamoja na Shuhuliza za Kibinaadamu kama Vile Kilimo, Ujenzi, Utalii, Uwekezaji, Na Biashara za Miti Imara

Mkutano huo Ulishirikishwa na Nchi zaid ya 30 Duniani ikiwemo GHANA 🇬🇭, KENYA 🇰🇪, MALI 🇲🇱, PANAMA 🇵🇦, SRILANKA, CUBA 🇨🇺, CHINA 🇨🇳 ambae ndio Mwenyeji wa Mkutano huo nk..

Mkutano huo ulikua wa Siku Tatu na Umemalizika jana baada ya Kuweka maazimio ya Pamoja kwa Nchi Kuende kuanza Utekelezaji...

TANZANIA 🇹🇿 NI MOJA TUNZA MAZINGIRA ILI YAKUTUNZE ...
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-07-29 at 16.06.03(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-29 at 16.06.03(1).jpeg
    78.2 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2023-07-29 at 16.06.08.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-29 at 16.06.08.jpeg
    108.6 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2023-07-29 at 16.06.06.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-29 at 16.06.06.jpeg
    114 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2023-07-29 at 16.06.05.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-29 at 16.06.05.jpeg
    118 KB · Views: 5
  • WhatsApp Image 2023-07-29 at 16.06.05(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-29 at 16.06.05(1).jpeg
    53 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2023-07-29 at 16.06.03(2).jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-29 at 16.06.03(2).jpeg
    125.3 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2023-07-29 at 16.06.02.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-29 at 16.06.02.jpeg
    72.9 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2023-07-29 at 16.06.03.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-29 at 16.06.03.jpeg
    74.7 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-07-29 at 16.06.03(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-29 at 16.06.03(1).jpeg
    78.2 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2023-07-29 at 16.06.07.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-29 at 16.06.07.jpeg
    125 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2023-07-29 at 16.06.07(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-29 at 16.06.07(1).jpeg
    19.3 KB · Views: 3
Back
Top Bottom