Ugonjwa wa seli mundu wa siko seli,umekua ukiongezeka kwa gafla hapa nchini kwetu,hata hivyo watafiti wa magonjwa ya damu unaonyesha kuwa asilimia 12 hadi 15 ya watanzania wana vina saba vya ugonjwa wa seli mundu(sickle cell
)
akizungumza na waandishi wa habari DSM jana ,mratibu wa idara ya magonjwa ya damu kitengo cha seli mundu wa chuo kikuu cha sayansi na Tiba Dk DEOGRATIUS SOKA alisema tatizo la seli mundu kwa sasa ni kubwa ,alisema kliniki ya wagonjwa wa seli mundu kwa siku wanapokea wagonjwa 60 wakiwemo watoto na watu wazima.
kutokana na utafiti huo TANZANIA imeshika nafasi ya 5 DUNIANI kwa kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa wa seli mundu.
..............