ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 61,760
- 72,194
Tanzania imeendelea kuburuzwa na Kenya,Uganda na Rwanda katika kuvutia wanafunzi wa Mataifa mengine kuja kusoma kwenye Vyuo Vikuu vyake.
Unadhani sababu kubwa ni ipi ? Je Lugha mfano Kiswaglishi Cha wahadhiri ndio sababu au hakuna wahadhiri na waliopp wamekimbilia siasa?
Elimu ya Bongi inaendelea kuwa mashakani.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DEHbAkkuZfL/?igsh=M3hocHJoOXY2ZnF6