Tanzania yaendelea kuwa namba moja katika mauaji ya Albino barani Afrika.

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,270
50,527
Samahani ndugu zetu upande wa kusini, lakini hili tutalipigia makelele tu maana ni unyama uliokithiri. Najua inakua chukizo haswa kwa akina bagamoyo wanaotaka mambo kama haya yawe yanafukiwa bila kukemewa. Lakini naona yapigiwe makelele hadi iwe chukizo na kero kwa kila mmoja, kiasi kwamba wanaofanya huu unyama wakose amani.

Najua muda usio mrefu mtaanza kujibu eti na Turkana kuna njaa, mara Kenya kuna watu wanafanya ngono na wanyama, kama ilivyo kawaida yenu, lakini nionavyo mimi bora nimgegede mbuzi au punda lakini nisimnyofoe mtoto wa albino viungo. Tulipigie makelele hili.


Published on Jun 20, 2016
Tanzania imeendelea kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kwa mauwaji ya watu wenye Ualbino kunakochangiwa na imani za kishirikina kwa mujibu wa taarifa mbalimbali zinazoendelea kutolewa na tume ya haki za binadamu ya umoja wa mataifa.

 
Humu mkuu huwezi waona wanapita kimya kimya.wanajua utamu ya supu ya albino
 
ni karibia mwaka sasa sijackia mauaji hayo TZ, sipingi kuwa inaongoza koz yalishatokea mauaji mengi huko nyuma. kwasasa mauaji yanasikika sana malawi na msumbiji.
 
Yanaongozaje huku aise, mara ya mwisho nimesikia ni last year, walikata mkono wakakimbia nao, ila walikamatwa. Huku dola imewabana pande zote, hadi wameamua kuhamishia madhambi yao kwa nchi jirani. Kuna watu na viatu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…