Tanzania ya viwanda vs kilimo kwanza

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,658
Tanzania ya viwanda vs kilimo kwanza ipi ni sera ambayo ingetutoa kwenye uma sikini haraka
 
Kilimo kwanza.

1. Hakuna ukuwaji wa msingi wa viwanda bila ya kuwa na kilimo cha uhakika.
2. 75% ya watanzania ni wakulima. Ni unafiki wa hali ya juu kufikiri viwanda wawati walio wengi ni wakulima na wanategemea kilimo kwa maisha yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…