Shukrani A. Ngonyani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,182
- 2,015
Naomba kujuzwa kwa ujumla wetu humu kama kuna mtu eneo anakoishi kuna kiwanda chochote kimejengwa na hii Tanzania ya viwanda.
Nauliza kwa nia njema tu, maana kwangu hakuna nilipoona kiwanda zaidi ya kufungwa kwa viwanda vidogo kwa ongezeko la kodi na kupungua kwa wateja.
Tafadhali nazungumzia ujenzi wa viwanda, isije ukaingia ushabiki kuwa "tumesaidia sana kudhibiti upinzani, tumeongeza kodi, tumeweza dai wadaiwa wa HESLEB, tumewafunga wapinzani wa serikali na wauza madawa".
Tafadhali Nijuzwe kilipo kiwanda kipya kilichojengwa chini ya awamu ya mh. rais wa sera za viwanda.
Uko msitu gani labda?!?!?!Naomba kujuzwa kwa ujumla wetu humu kama kuna mtu eneo anakoishi kuna kiwanda chochote kimejengwa na hii Tanzania ya viwanda.
Nauliza kwa nia njema tu, maana kwangu hakuna nilipoona kiwanda zaidi ya kufungwa kwa viwanda vidogo kwa ongezeko la kodi na kupungua kwa wateja.
Tafadhali nazungumzia ujenzi wa viwanda, isije ukaingia ushabiki kuwa "tumesaidia sana kudhibiti upinzani, tumeongeza kodi, tumeweza dai wadaiwa wa HESLEB, tumewafunga wapinzani wa serikali na wauza madawa".
Tafadhali Nijuzwe kilipo kiwanda kipya kilichojengwa chini ya awamu ya mh. rais wa sera za viwanda.
Avatar yako na maandishi yako yanatia kinyaaMbona mna haraka hivyo Watanzania? Subirini muone. Mnataka viwanda vijengwe bila tathmini?
WordNaomba kujuzwa kwa ujumla wetu humu kama kuna mtu eneo anakoishi kuna kiwanda chochote kimejengwa na hii Tanzania ya viwanda.
Nauliza kwa nia njema tu, maana kwangu hakuna nilipoona kiwanda zaidi ya kufungwa kwa viwanda vidogo kwa ongezeko la kodi na kupungua kwa wateja.
Tafadhali nazungumzia ujenzi wa viwanda, isije ukaingia ushabiki kuwa "tumesaidia sana kudhibiti upinzani, tumeongeza kodi, tumeweza dai wadaiwa wa HESLEB, tumewafunga wapinzani wa serikali na wauza madawa".
Tafadhali Nijuzwe kilipo kiwanda kipya kilichojengwa chini ya awamu ya mh. rais wa sera za viwanda.
Tuliambiwa this time hakutakuwa na majibu ya tupo kwenye tathmini, sijui tunaandaa mpango mkakati, et timu yangu inapitia mapendekezo ya task force flan cjuiiiiMbona mna haraka hivyo Watanzania? Subirini muone. Mnataka viwanda vijengwe bila tathmini?